Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa what are you winning apo? those are private projects za watu, all they need is to make profit out of you ndo unaita winning?
How is Dubai a success?
Do you know that Monaco will allow anyone including a mnyamwezi to be a citizen if you go with big money to invest, making it the highest GDP Per Capita in the world? Wah kweli ujamaa has blinded you guysโ€ฆ
 
So vile mlikuwa mnaitaka hamkujua haitakuwa na faida kwenu? Acha nilete receipts on how you chest thumping on how Dangote will chose Tanga over Mombasa and Lamu.
Tumekataa miradi mingi tuu kama hiyo USD 10bn Bagamoyo port na hata USD 3bn Iron ore mining tulikataa pia.
 
Says a person who does not have even an iota of knowledge in investment financing.
 
They did the hard work, we outsmarted them ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
They always pretend to be smart, juzi tu waliaibisha ruto when he announced about Dangote investing in Tanga.. now they are envying itโ€ฆ
Subirini kwanza ujenzi uanze ndio mje hapa mfanye bragging sasa hivi ni kupotezeana mda tuu na kujaza servers za JF kwa hii discussion.
 
huu mradi kwetu hauna faida kama tutatoa protections zote hizo na kuleta a monopoly kwenye oil market
Leo hii tena hakuna faida yet mlikuwa mnaitaka? You even analysised and concluded that Tanga ndio itawekwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Ila bado refinery itajengwa Tanga kama kuna hiyo plan mark my words.
Mimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii kitu nilishawahi kusema hapa,refinery tanga itajengwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ