Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,907
- 34,655
Lakini hii ya Dangote hamkukataa, you were just not chosen.Tumekataa miradi mingi tuu kama hiyo USD 10bn Bagamoyo port na hata USD 3bn Iron ore mining tulikataa pia.
Lakini hii ya Dangote hamkukataa, you were just not chosen.Tumekataa miradi mingi tuu kama hiyo USD 10bn Bagamoyo port na hata USD 3bn Iron ore mining tulikataa pia.
Leo hii tena hakuna faida yet mlikuwa mnaitaka? You even analysised and concluded that Tanga ndio itawekwa😂😂huu mradi kwetu hauna faida kama tutatoa protections zote hizo na kuleta a monopoly kwenye oil market
Hakuna refinery itakayojengwa Mombasa Tanga is the only choice because kwanza kuna:
1. Landing site ya Ug oil and export terminal
2. Umeme wa kutosha
3. Ardhi ya kutosha na at low cost.
4. Pia in Tz kuna oil pipeline to Zambia can serve Malawi and DRC
5. No extra cost such as pipeline as in the case for Mombasa or shifting crude by ship from Tanga to Mombasa for refining.
All logistics favour Tanga
Who is crying now?😂Usije ukalia tuu humu. All factors favour Tanga over Mombasa.
We marked your words. How is Tanga refinery plans ongoing? When is construction starting?🤣🤣😂Ila bado refinery itajengwa Tanga kama kuna hiyo plan mark my words.
Mimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! 😂😂😂Ila bado refinery itajengwa Tanga kama kuna hiyo plan mark my words.
Hii kitu nilishawahi kusema hapa,refinery tanga itajengwa tuMimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! 😂😂😂
View attachment 3626263
Yes itajengwa tu,Hii kitu nilishawahi kusema hapa,refinery tanga itajengwa tu
No one will fund your refinery. Take that to the bank.Mimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! 😂😂😂
View attachment 3626263
Anayeandika hivi anatokea nchi ambayo haiwezi kujenga hata km 1 ya barabara bila kukopa. 😂😂😂No one will fund your refinery. Take that to the bank.
It will never be economical in this region to put up another refinery for many years. Unless your government shuts down oil imports from Lamu.
And even then, Bongolala will never export a single barrel at a profit. So, maybe just a domestic refinery.
Dangote's scale will run everyone out of business 😂😂
Ulisikia wapi? kama KPA inajenga expressway bila kukopa...Anayeandika hivi anatokea nchi ambayo haiwezi kujenga hata km 1 ya barabara bila kukopa. 😂😂😂
sasa kwan ishajengwa?We marked your words. How is Tanga refinery plans ongoing? When is construction starting?🤣🤣😂
Umesikia hio clip kweli?Usifananishe hii project kama kula githeri. It requires many years of financing arrangements, legal, and regulatory frameworks to be in place.
sasa clip ndo refinery imeshajengwa? we unajuaje kama sio political stunt? is this the first project to be annouced in kenya and later slipped?Umesikia hio clip kweli?