Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Kenge wa North wanapita kimya kimya hapa kama wana aga msiba..

Hawajajua impact ya hii kitu kwenye uchumi wao. It means Amsons watatumia lubricants , mafuta na Gas kupitia plant zake ambazo ni hizo amechukua Oryx's. Maana yake kule bamburi na east Africa cement, plus gari zote za kiwanda na mitambo vitatumia products za Tajiri mwenyewe. Kunyaland watabakia kuwa walaji tu wa bidhaa.
 
Big GDP country.

Kiwanja cha PREMIER LEAGUE👇👇

Screenshot_20261018_101512_X.jpg
 
Back
Top Bottom