Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,202
- 35,580
Hii kitu nilishawahi kusema hapa,refinery tanga itajengwa tuMimi kinachonichekesha ni serikali ya Tanzania haijawahi kupiga kelele kuwa Dangote atajenga au anajenga refinery Tanga na ndio maana siku ile rais akamuuliza kaongo, ni kelele za wakunya na rais wao, iweje sasa washangilie like walikuwa wanashindana na Tanzania! 😂😂😂
View attachment 3626263