RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,419
- 135,059
Hao mbuzi hawana akili. Mpaka leo wanakwambia lile gari moshi lao,mtungi wa gongo ni zuri kuliko EMU za TRC sasa unajadili nini na wapumbavu wa aina hio?Hivi jamani hebu tujaribu kuwa realistic, hv kati ya uwanja huu View attachment 3625274View attachment 3625275View attachment 3625276
Na huu View attachment 3625277
Ukiulizwa kwa muonekano tu upi ni modern utasema upi? Mbn tunabishana kitoto namna hii?
Laiti kama wakenya wangejengewa uwanja huu ingekuwa ni sahihi kabisa kuuita modern stadium View attachment 3625279