Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 664
- 1,086
Tanzania ilianza kutumia LED kabla ya Kenya, ni kama VAR technology au brt au treni za umeme hiyo inabidi mkubali tu.
Let's start with OT. First, yes, OT is a modern stadium.Kama ni hivyo facilities make a stadium to be modern mbn hujibu kama OT ni modern stadium ama la? Talanta kuna facilities inakaribia OT? Kuhusu ubunifu, ndiyo Arusha stadium ni ubunifu umetumika pale, ni uwanja unaotambulisha madini yetu adimu duniani, nyie talanta inatambulisha nn? Au wale mende mliochora ndiyo inatambulisha wakenya?
It is a fact kijana wa Tandale. Verifiable fact, sio story za vijiweni.Is this what the Chinese building Atlanta stadium told you ?
All Modern Stadiums have permanent LED boards in the stands. Wewe unatuonyesha vitu vya kuweka time ya game alafu game ikiisha inatolewa.Siumeona, nilisema mm mtasema namna hii kwasabu nyie watu ni washamba, unajua fika kwamba technology ya led imeanzia Tz kwa east and central Africa, kama ilivyo VAR, na ndiyo mana unalazimisha iwe juu, kwamba hii sio led kwasabu ipo chini au sio 😀 😀 😀 😀 View attachment 3625557
None of your stadiums have a Fascia LED in short.Nyinyi kwenu led mmeanza kuiona juzi juzi tu apa, sisi kwetu ilikuja kitambo ndomana unashangaa mpaka ss.
Jibu swali nyamwezi. We are talking about stadium modernity here. Does Arusha stadium have LED ribbons? (Those ones found high up on the terraces) Yes or noNyinyi kwenu led mmeanza kuiona juzi juzi tu apa, sisi kwetu ilikuja kitambo ndomana unashangaa mpaka ss.
All Modern Stadiums have this ribbon. Hao bado wanasema LED boards kando ya pitch pekee alafu wanasema wako na modern stadiums😂😂Sasa lazma waforce ati wako nayo 😂 I think It's called LED ribbon boards , one of the features of a modern stadium
View attachment 3625560
View attachment 3625555
View attachment 3625558
View attachment 3625561View attachment 3625562
View attachment 3625563
There's nothing morden about that thing build in Arusha countryside. Uwanja yenyewe wamepanda natural grass sisi yetu ni hybrid system na bado tunaambiwa yao ni modern!🤣🤣🤣🤣All Modern Stadiums have this ribbon. Hao bado wanasema LED boards kando ya pitch pekee alafu wanasema wako na modern stadiums😂😂
Kwa reason za kishamba kama hizi bado unataka debate na mm? Hutoshi wewe na naomba kwenye hili la stadium usini quote tena, mm huwa sipendi kujadili kitoto na kiushabiki, tafuta mashabiki na watoto wenzio, mm ni mtu mzima najadili kikubwa.Let's start with OT. First, yes, OT is a modern stadium.
Talanta might or might not come close to OT depending on how you look at it. And yes, Talanta iko na facility inashinda nayo Old Trafford japo ni moja. Old Trafford doesn't have a computerized hydraulic tension cable roof- lifting system, kitu Talanta stadium iko nayo. Wewe nitajie kitu Samia stadium inazidi nayo OT hapa tuone kama utapata.
Tafuta watoto wenzio mjadili, usini quote tafadhari.Jibu swali nyamwezi. We are talking about stadium modernity here. Does Arusha stadium have LED ribbons? (Those ones found high up on the terraces) Yes or no
They still maintain iko nayo😄😄 Ukiwauliza wakuonyeshe wanasema wao watanganyika hawana tabia ya kupiga picha sana na kuleta mitandaoni! 😂😂😂😂Stadium Yao haina Skyboxes yet they want to talk about modernity 😂🤣🤣.
| Macroeconomic Indicator | Tanzania (2025) | Kenya (2025) |
| Total Goods Exports | USD 10,262.9 million | USD 6,400.0 – 6,600.0 million |
| Total Goods Imports | USD 14,787.7 million (Up 4.2% YoY — tightly managed) | ~USD 19,000.0 – 20,000.0 million (Structurally high industrial/energy reliance) |
Bongolala, first and foremost, mimi usiniletee hasira zako hapa and don't dictate to me how I should engage on this forum. It is a public forum. People like you who thrive on misinformation should be called out publicly and this is what forums like this are all about.Kwa reason za kishamba kama hizi bado unataka debate na mm? Hutoshi wewe na naomba kwenye hili la stadium usini quote tena, mm huwa sipendi kujadili kitoto na kiushabiki, tafuta mashabiki na watoto wenzio, mm ni mtu mzima najadili kikubwa.
View attachment 3625576
Sijakukataza kuni quote kwenye mambo mengine ila kwenye suala la stadium achana na mm braza, huna uelewa wa modernity.Bongolala, first and foremost, mimi usiniletee hasira zako hapa and don't dictate to me how I should engage on this forum. It is a public forum. People like you who thrive on misinformation should be called out publicly and this is what forums like this are all about.
If you think I am a thorn in your flesh, there's the unfollow button; please use it accordingly. What I will not do is to sit back and watch illiterate imbeciles like you spread out outright lies packaged as truth and when they are called out they start behaving like they have monopoly of truth.
In today's world where truth lives on the internet 24/7, ni nani unaweza mdanganya by dismissing and dissenting the opinion and ideas of others while enforcing false narratives that favor your skewd thinking?
I will quote you now, tomorrow,next month and even next year every time you lie so get prepared!
What happened to the sitting arrangement?Yes with new seating arrangement
Sina uelewa wa modernity wakati wewe uelewa wako wa stadium modernity unaanzia na kuishia kwenye exterior design! Una mambo kweli weweSijakukataza kuni quote kwenye mambo mengine ila kwenye suala la stadium achana na mm braza, huna uelewa wa modernity.
Meanwhile, the most "modern" stadium ukanda huu bado barabara zake hazipitiki!🤣🤣🤣🤣Upper hill viaduct project, connects all the way to Talanta stadium.
View attachment 3624847View attachment 3624848View attachment 3624849View attachment 3624850View attachment 3624851View attachment 3624852