Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,354
- 33,670
What's modernity according to you?Jaribu kufuatilia mjadala kwanza kabla ya kutoa maboko kama haya unaongea hapa, niliuliza Old Trafford ina kila kitu ndani ambacho viwanja vyetu vya ki Africa havina, je utasema ni modern stadium? Kitu nmegundua wakenya mna safari ndefu sanaa, na kwa akili hizi no wonder mnapigwa sana kwenye miradi.