Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 708
- 1,188
Umeona ss ulivyo mshamba, unaongelea technology amabayo ni ya kitambo sn, ss Arusha inatumia nyasi gn? Wakenya acheni ushamba, mambo ya kawaida tu haya.Ndugu yangu tukianza kuongelea modern features ndani ya Talanta sijui wenzetu watasema nini. Kuna mmoja kaleta screenshot hapo juu that clearly states the stadium has natural grass🤣🤣
Ndani ya Talanta we are installing a hybrid system. So tukiamua kutumia hicho kigezo tu, ni kiwanja gani tutasema ni modern?