stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,319
- 33,837
na kesi walipeleka kortini ila bado mzee alishindaNa ile expressway walijengewa na wachina ni galasa tu, familia ya grandpa imo😀
na kesi walipeleka kortini ila bado mzee alishindaNa ile expressway walijengewa na wachina ni galasa tu, familia ya grandpa imo😀
Yes mate, after renovating the capacity increased, ni vile we don’t brag of small things like idadi ya viti. ChildishCapacity iliongezeka from 60k to 65k? 😂😂
Ni 62k sio 65Capacity iliongezeka from 60k to 65k? 😂😂
walimlipa mbna pesa ya kutosha hakuondoka kinyongeNdio maana unaona Mr Loot-all nae anapambana sana apige mpunga,
alijaribu kuleta mhindi mmoja anaitwa Adan pale uwanja wa ndege akapigwa vita hajawahi ona,
Kwa sasa Mr Loot-all , au mtukufu Lies (kama wanavyomwita wakenya) is ranked as the top corrupt president in the world.
Hapana Nyamwezi, watasimama ndani ya skybox 🤣 🤣nliskia mlitumia $1.2B for the skybox 😂 😂 kwahio wageni mlisema wataruka ruka kuangalia mechi au sio 😂
View attachment 3624679
kwahio hapa tunafanyaje kungalia mkifungwa 😂 au mmeweka ivi maksudi msione upande wenu wa kufungwaIliishia hapa Nyamwezi
View attachment 3624675
alafu wakimaliza wanruka tuka kama as planned 😂😂😂Hapana Nyamwezi, watasimama ndani ya skybox 🤣 🤣 View attachment 3624682
kwahio apa mechi ikiwa inaendelea unaruka ruka au 😂Hapana Nyamwezi, watasimama ndani ya skybox 🤣 🤣 View attachment 3624682
Mimi Toka wameua vijana mwaka Jana sinaga time na kuchangia huu UziMiddle income, na per capita ya $1200 hahah, anyway;
Nikupe mfano, angalia magari yanayoendeshwa kwenye mitaa yetu bora kabisa kama Kibaki road halafu compare na yanayoendeshwa Sandton, kama umewahi fika,
Hapa sitaki kutaja mitaa ya Kenya sababu huko hali ni mbaya zaidi, CBD ya Nairobi kuna malori yanasafirisha abiria kama PSVs this 2026, awkward.
back to the topic,
Ngoja nikupe facts,
What is 6% or let’s say 10% kwenye uchumi wa $85b na watu million 70?
Hii si pesa ya Mapato ya Facebook kwa Mwaka.
Nchi Kama Tanzania ambapo mji wetu bora kabisa , Dar es Salaam , umejaa hawkers kila pahala, uende kariakoo, manzese, Coco Beach, Mbezi Luis, Bunju, Mbagala, Mwenge na kila pahala,
This alone will tell you we have a long way to go,
Nchi haina opportunities sababu ya viongozi visionless kama mama.
Miji yote sasa hivi imejaa bajaji na bodaboda kama uchafu,
Ni rahisi sana kung’amua kuwa huwezi kuendesha uchumi wa watu millioni 70 bila vibrant manufacturing sector, Mama hawezi elewa hili ndio maana mambo ya maandamano hayatakoma hadi nchi ikae Sawa, vijana wapewe shughuli za kujikwamua kiuchumi.
Then Mimi sio maskini, I have enough for myself and my family, the difference Kati yangu na wengine maybe ukiwemo is that I earn my clean money with dignity, I pay Taxi and I don’t bootlick any silly politician for favors, like many of you.
lakini sema jamaa waliwapiga apa kweli $1.2B na unaruka wakati wa kuangalia mechi 😂Hapana Nyamwezi, watasimama ndani ya skybox 🤣 🤣 View attachment 3624682
Bratha umekosa content?kwahio apa mechi ikiwa inaendelea unaruka ruka au 😂
View attachment 3624685
Ipo sku utaelewa kwann Mwizi hua anapigwa vibaya, saaahv bado hujakua infact sehem zingine ni kuchoma tu, hujui uchungu wa watu waliopoteza biashara zaoMimi Toka wameua vijana mwaka Jana sinaga time na kuchangia huu Uzi
.acha wakenya washinde tu na maendeleo Yao.
Siwezi kuchangia na kujitapa maendeleo ya Tz huku Mtu anaua watu zaidi ya 1000 na anaabudiwa as if nothing happened.
I will come back. Siku akitoka na kuwajibika kwa aliyoyafanya.
Mwakani nawaombea Kenya uchaguzi mwema. Maana Madaraka yanawafanya baadhi ya waafrica kuwa wanyama kabisa.
Jambo la msingi ni kulinda uhai wako. Wakenya wala msiwacheke Watz. Kwenye uchaguzi wa kiafrica anything can happen hata kama mna katiba ya namna Gani.
We still have long way to go as Africans.
And I support you. Maandamano hayataishaga kama bodaboda na hawking ndo main job opportunity kwenye nchi
kwan si tumekubaliana this ize moden stadiam withi skaiboxiBratha umekosa content?
View attachment 3624688
Hizi ni ndoto! Pesa Ndege sana hiyo!Ni proposal bado
View attachment 3624626
kwahio apa ni kuruka ruka apa tunafanyaje sasa mtu asije kulipia ela akatoka kafanya mazoezi 😂Bratha umekosa content?
View attachment 3624688
The only kind of renovation that could have increased seat numbers ni kama kungekua na ujenzi fulani mpya ndani ya huo uwanja kuongeza capacity which never happened. How was this space for extra seats created?Yes mate, after renovating the capacity increased, ni vile we don’t brag of small things like idadi ya viti. Childish
With the pace of football itajengwa tu, na pia ukizingatia timu zenyewe zinazocheza CAF Ni 4 saahv we need more stadiums hizi hazitoshi, kule 17 wacheze baadae wanawake nao wacheze, ije ligi, ije cecafa ije CAFHizi ni ndoto! Pesa Ndege sana hiyo!
but we arent done, so apa tunapiga vp mbugi 😂The only kind of renovation that could have increased seat numbers ni kama kungekua na ujenzi fulani mpya ndani ya huo uwanja kuongeza capacity which never happened. How was this space for extra seats created?
Ukoo wa Kenyata ndio unaomiliki Kenya, Imagine the grandpa’s land grabbing legacy outplays the living in such statutory lawsuits haha, Familia ya Kwnyata ndio miongoni mwa Familia tajiri zaidi Africa.na kesi walipeleka kortini ila bado mzee alishinda
do you know the pain of watching a match ukiwa unaruka ruka 😂The only kind of renovation that could have increased seat numbers ni kama kungekua na ujenzi fulani mpya ndani ya huo uwanja kuongeza capacity which never happened. How was this space for extra seats created?