Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,071
- 17,789
Kwa hivyo minyamwezi wa Tandale yana maisha mazuri kushinda wamisri! 😂😂😂😂Unashangaa egypt wakati mwenye biggest slums amekaa 11, this list haipo fair
Kwa hivyo minyamwezi wa Tandale yana maisha mazuri kushinda wamisri! 😂😂😂😂Unashangaa egypt wakati mwenye biggest slums amekaa 11, this list haipo fair
kuna mtu alikulipia ada kabisa uje kununua kochiBado hujaumia. This is from the link you shared and it seems the content of that link hata hajasoma.
This is what is inside that link of yours😂😂🤣🤣😝
View attachment 3620496
nairametrics.com
Mbona nisome sections siko interested nazo?🤣😂🤣Jitahidi usome news nzima na uelewe
Mbna unaweza kupata majibu direct from the source kabisaKwa hivyo minyamwezi wa Tandale yana maisha mazuri kushinda wamisri! 😂😂😂😂
Kazana sasa ukiongeza nguvu unaweza kua interested kua mke wake piaMbona nisome sections siko interested nazo?🤣😂🤣
This one here is my interest and I'm happy kweli kweli 😂🤣🤣😝😝
View attachment 3620498
nairametrics.com
Ulitegemea kabisa mtu afanye kazi, apate ela aje kuspend sehem ya vumbi?Kwa hivyo minyamwezi wa Tandale yana maisha mazuri kushinda wamisri! 😂😂😂😂
Huyo kilaza huwa hasomi content za link anarusha humu. Kuna time alipost link ya X mentioning vile Tanzania walishindwa 3-0 na Uganda with his usual deformatory statemts against Kenya. Luckily he realized his mistake a few minutes later and deleted the post but not before I grabbed a screenshot! 😜😂😂😂Bado hujaumia. This is from the link you shared and it seems the content of that link hata hajasoma.
This is what is inside that link of yours😂😂🤣🤣😝
View attachment 3620496
Sasa hio inahusiana vp na westlands kua na vumbi madame?Huyo kilaza huwa hasomi content za link anarusha humu. Kuna time alipost link ya X mentioning vile Tanzania walishindwa 3-0 na Uganda with his usual deformatory statemts against Kenya. Luckily he realized his mistake a few minutes later and deleted the post but not before I grabbed a screenshot! 😜😂😂😂
When I confronted him, his excuse was that he posted it here by mistake; that he was sending the tweet to someone 😂😂
Hizi links zako huwa unazisoma kweli before uzilete huku?🤣🤣😂🤣😝Kazana sasa ukiongeza nguvu unaweza kua interested kua mke wake pia
![]()
Dangote to build port, 2,000MW power plant in Tanzania
Africa's richest man, Aliko Dangote, is set to expand his investments in Tanzania with plans to develop a port, a 2,000-megawatt coal-fired power plant and several other large-scale infrastructure projects in the East African country.nairametrics.com
Ni kusoma huelewi ama shida ni nn, kuna mtu hajui alitangaza hivo before?Hizi links zako huwa unazisoma kweli before uzilete huku?🤣🤣😂🤣😝
View attachment 3620505
Saa hii ashapost two links and both are saying that Dangote has chosen Lamu Port for the refinery 🤣🤣😂Huyo kilaza huwa hasomi content za link anarusha humu. Kuna time alipost link ya X mentioning vile Tanzania walishindwa 3-0 na Uganda with his usual deformatory statemts against Kenya. Luckily he realized his mistake a few minutes later and deleted the post but not before I grabbed a screenshot! 😜😂😂😂
When I confronted him, his excuse was that he posted it here by mistake; that he was sending the tweet to someone 😂😂
Alafu ile list kwel haiko fair, imagine having 4 slums in afrika top 10 and ranked 11thHuyo kilaza huwa hasomi content za link anarusha humu. Kuna time alipost link ya X mentioning vile Tanzania walishindwa 3-0 na Uganda with his usual deformatory statemts against Kenya. Luckily he realized his mistake a few minutes later and deleted the post but not before I grabbed a screenshot! 😜😂😂😂
When I confronted him, his excuse was that he posted it here by mistake; that he was sending the tweet to someone 😂😂
Hii ni ya juzi kijana. Na kama alitangaza hivo before then mbona bado mlikuwa mkazana ATI refinery utaenda Tanga?🤣🤣😂.Ni kusoma huelewi ama shida ni nn, kuna mtu hajui alitangaza hivo before?
🤣 🤣 So he choose mombasa but he has to build a port in tzSaa hii ashapost two links and both are saying that Dangote has chosen Lamu Port for the refinery 🤣🤣😂
How do they do it? They build new 4 lanes from scratch or they build another 2-lane road beside old one?Rironi-Mau Summit road. Yajayo yanafurahisha. 170kms of dual highway
Wapi wale wa "asante kwa render" waje watutumbuize na chorus kidogo 🤣 🤣 🤣
View attachment 3620466View attachment 3620467View attachment 3620468View attachment 3620469View attachment 3620470View attachment 3620471View attachment 3620472View attachment 3620473View attachment 3620474
Saa hii anasema ati Dangote alishatangaza before ati atajenga refinery Lamu yet he was among the Tanzanians who said that Dangote didn't say something like that 🤣😂🤣😂Huyo kilaza huwa hasomi content za link anarusha humu. Kuna time alipost link ya X mentioning vile Tanzania walishindwa 3-0 na Uganda with his usual deformatory statemts against Kenya. Luckily he realized his mistake a few minutes later and deleted the post but not before I grabbed a screenshot! 😜😂😂😂
When I confronted him, his excuse was that he posted it here by mistake; that he was sending the tweet to someone 😂😂
The tolled one is built from scratch.How do they do it? They build new 4 lanes from scratch or they build another 2-lane road beside old one?
Acha kucomplicate mambo, soma news na uelewe infact he was here last week on a state visit, labda as dangote wife you know something we dont so hatukubishii wife wa dangote usije ukamdivorceHii ni ya juzi kijana. Na kama alitangaza hivo before then mbona bado mlikuwa mkazana ATI refinery utaenda Tanga?🤣🤣😂.
You even said that if not Tanga then the refinery will not be built 😂😂