ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
montave na pinnacle renders😀😀😀😀Montave 160m x2
Pinnace 300m, 201m
CBK pension tower 130m
should I go on?
montave na pinnacle renders😀😀😀😀Montave 160m x2
Pinnace 300m, 201m
CBK pension tower 130m
should I go on?
Angola na Nigeria zimebakikiwa sana piaDespite being the most blessed country in Africa after DRC, it is one of the poorest countries in the world...they have gold, lakes, big beaches, large tracts of arable land, highest mountain, diamond, tanzanite, reliable rainfall, wild animals and large gas reserves...hakuna nchi iliobarikiwa hivi afrika nzima....north africa is all desert...the only thing they have is oil...Kenya is semi arid in north and north eastern....yet, even with all these blessings, Tanzania is a big LDC country...SHAME ON YOU GUYS...
pinnacle na montave 2050😀😀😀Izo mwaka huu ziko tayari nipe report kuhusu izo zako tuzitarajie lini?
Prince Chupi.Yani wewe no bwege! mturuki ni mzungu? basi hata mchina ni mzungu
na tanzania ndio inaanza kutumia resources yani speed zote za maendeleo unazoziona ndio tumeanza kutumia resources sasa😀😀😀😀😀😀😀jikazeni...nchi imebarikiwa sana...mfano hizo nchi za north africa ni desert tupu, hawana minerals apart from oil, hawana mountains, lakes rivers, wild animals or even rainfall...but they are soo developed...look at Morocco, Egypt, Algeria etc...same can be said about other countries like Kenya...kenya north na east ni nchi kavu yote..hakuna mvua wala nini...hatuna minerals kama dhahabu, diamond...we only recently discovered oil na sio oil nyingi...but we are trying...Tanzania should do something...it has been asleep for very long...
ndio ila kwa mafuta tu...nyie mna baraka toka kwa wanyama pori, beaches and islands, na pia mvua tele...nchi si kame kama vile northern Kenya...mna tanzanite, gas, diamond na dhahab...mna mlima mrefu kabisa barani kisha mna fresh water lakes ambazo Angola na Nigeria hawana...frankly, kwa baraka za natural resources, tz na DRC mlipendwa na Mola...Angola na Nigeria zimebakikiwa sana pia
suburu brookside hasikiki tanzania kuna viwanda vya maziwa zaidi ya 15 na zote ziko kwenye ushindani mkali sana😀😀😀😀😀😀😀😀we wacha kudanganya watyu...Brookside wamekamata soko la Tanzania
yaani mmekuwa mkilala...Tanzania should be ahead of South Africa today....SA kuna mahali kumekauka sana...hawana mlima mrefu kabisa barani,...hawana pia wanyama pori kiasi mlio nao...kwa hiyo, tukubaliane tu kwa hili, watz mmekuwa mkilalia masikio yenu kwa muda mrefu sana...angalau Magu ameamsha engine ila its too late...watu kama SA wapo mbele sana hamuwez kuwafikia kamwe...Kenya pia na ukame wa kaskazini tupo mbele ynu kiuchumina tanzania ndio inaanza kutumia resources yani speed zote za maendeleo unazoziona ndio tumeanza kutumia resources sasa😀😀😀😀😀😀😀
ikiwa huyu ni mmoja tu bado wale settlers😀😀Unalosema ni kweli tupu, ila pia lazima ukubali kwamba, Kenya haina sababu yoyote ya kuwa ni miongoni mwa nchi zenye njaa ya Kudumu, kwa
sababu arable land ya Kenya(20%), ni kubwa kuliko arable land za Rwanda and Burundi combined, lakini wanazalisha chakula cha ziada, Kenya lazima mzipitie upya sera na sheria za umiliki wa ardhi, vinginevyo hii aibu ya kuomba chakula kila mwaka haitokwisha
Have they built one in Tz?
where is pinnacle and montave??😀😀😀ndugu, Upperhill only competes with the likes of Sandton, SA...the kind of development going on there is astonishing...hapo ndio Britam, prism, UAP, Pinnacle, Montave wote wapo bro
Ondoa Kamwe apo ,yaani mmekuwa mkilala...Tanzania should be ahead of South Africa today....SA kuna mahali kumekauka sana...hawana mlima mrefu kabisa barani,...hawana pia wanyama pori kiasi mlio nao...kwa hiyo, tukubaliane tu kwa hili, watz mmekuwa mkilalia masikio yenu kwa muda mrefu sana...angalau Magu ameamsha engine ila its too late...watu kama SA wapo mbele sana hamuwez kuwafikia kamwe...Kenya pia na ukame wa kaskazini tupo mbele ynu kiuchumi
katika hzo picha nioneshe pinnacle na montave maana umetueleza zipo zikwapi????😀😀fululiza picha tu tufananishe...hii ni debate...which means anything is subject to objection....if you can prove that Posta is more modern than this then I'd really like to see you try and fail
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Renders za station zenu za SGR si maandishi mengi na zero to show.na tanzania ndio inaanza kutumia resources yani speed zote za maendeleo unazoziona ndio tumeanza kutumia resources sasa😀😀😀😀😀😀😀
heheh yaonesha SGR ya tanzania inakuuma sana 😀😀😀 maana huna raha kabisaRenders za station zenu za SGR si maandishi mengi na zero to show.
so upper hill is big than posta??😀😀😀😀Like I said that place is nowhere near upperhill...kunaeza kua na nyumba nyingi but ni nyumba tu za kawaida unazipata place kama eastland ....upperhill has new modern classy buildings