El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Hamuipiti Tanzania kwenye maziwa ya aina yoyote hakuna sehemu yoyote kwenye milk production mnapita Tanzania![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
look at the biggest milk producers in Africa
Hamuipiti Tanzania kwenye maziwa ya aina yoyote hakuna sehemu yoyote kwenye milk production mnapita Tanzania![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
more Tanzanian milk productsdairy products zipo mpaka Somalia na Afghanistan ndugu...what matters is production capacity...hao ng'ombe wengi mlio nao ni wa maridadi au
Haya manyang'au huwa yanafikiri Tanzania nzima wanafahamu Brookside na Tanzania hakuna kabisa maziwa processed kumbe kuna watanzania hata Brookside hawajui ni kitu gani
Cjawai yaona hayo maziwa ya( brokeside) cjuiii yakoje kwan etHaya manyang'au huwa yanafikiri Tanzania nzima wanafahamu Brookside na Tanzania hakuna kabisa maziwa processed kumbe kuna watanzania hata Brookside hawajui ni kitu gani
Tanzania is leading that business I have already saidlook at the biggest milk producers in Africa
Hahaha ni maziwa ya punda wakenya wanafikiria kila mtanzania anayajua yani kwenye mawazo yao wanafikiria hakuna kiwanda cha maziwa Tanzania nzima.Cjawai yaona hayo maziwa ya( brokeside) cjuiii yakoje kwan et
Mbona viwanda vya maziwa tz vipo vingi sanaa kila mkoa m nlokaa kuna kiwanda cha maziwa saa wao wanaona ajabu au ni nn shida..muda mwingne uwe unawapuuzia mara nying wanakuja humu utakuta mtu hajala toka jana so cio kosa lao njaa mbayaHahaha ni maziwa ya punda wakenya wanafikiria kila mtanzania anayajua yani kwenye mawazo yao wanafikiria hakuna kiwanda cha maziwa Tanzania nzima.
Nilishawaambia wakenya waache kujidanganya kwamba kuna products zinatengenezwa Kenya Tanzania hazitengenezwi
$360m ni pesa kidogo kwako?Tanzania's 2020 horticulture revenue to double that of 2016 - Xinhua | English.news.cn
Acha kujipiga kifua gap kati ya mapato yenu na yetu ni $360M, pekee. kumbuka ninyi mlianza zamani lakini hadi sasa mpo $1B, sisi tumeanza juzi lakini tunawapumulia kwenye shingo, hata utalii mlikua mbele sana kimapato, sasa hivi tunapata mara nne zaidi yenu
Hahaha kweli mtu akiwa na njaa anadhani watu wote wana njaa kama yeyeMbona viwanda vya maziwa tz vipo vingi sanaa kila mkoa m nlokaa kuna kiwanda cha maziwa saa wao wanaona ajabu au ni nn shida..muda mwingne uwe unawapuuzia mara nying wanakuja humu utakuta mtu hajala toka jana so cio kosa lao njaa mbaya
Umeongea Kwa uchungu kwelikwel, Tunapambana kaka Maneno yako yamenigusa!!Despite being the most blessed country in Africa after DRC, it is one of the poorest countries in the world...they have gold, lakes, big beaches, large tracts of arable land, highest mountain, diamond, tanzanite, reliable rainfall, wild animals and large gas reserves...hakuna nchi iliobarikiwa hivi afrika nzima....north africa is all desert...the only thing they have is oil...Kenya is semi arid in north and north eastern....yet, even with all these blessings, Tanzania is a big LDC country...SHAME ON YOU GUYS...
Montave 160m x2PPF TOWER 37 Flr 160 M
MNF Tower 32flr 145 M×2
MZIZIMA TOWERS 35Flr, 33flr Over 140+M
Kwa uchumi wa Kenya ulivyo mkubwa hiyo ni pesa ya tafrija pale Ikulu kwa Kenyatta kukaribisha wageni wake$360m ni pesa kidogo kwako?

Izo mwaka huu ziko tayari nipe report kuhusu izo zako tuzitarajie lini?Montave 160m x2
Pinnace 300m, 201m
CBK pension tower 130m
should I go on?
Trump kasema Africa kunanuka etiAnd with the NBI-NY direct flights the industry will only get bigger


jikazeni...nchi imebarikiwa sana...mfano hizo nchi za north africa ni desert tupu, hawana minerals apart from oil, hawana mountains, lakes rivers, wild animals or even rainfall...but they are soo developed...look at Morocco, Egypt, Algeria etc...same can be said about other countries like Kenya...kenya north na east ni nchi kavu yote..hakuna mvua wala nini...hatuna minerals kama dhahabu, diamond...we only recently discovered oil na sio oil nyingi...but we are trying...Tanzania should do something...it has been asleep for very long...Umeongea Kwa uchungu kwelikwel, Tunapambana kaka Maneno yako yamenigusa!!
Leta picha za those rusty houses opposite those beautiful buildings.