Tzn uko kwenye line moja na hizo nchi nimekwambia,zina madini mengi tofauti na mafuta na other resources ulizozitaja hapo ila ni kweli kuwa Kenya Hanna rasilimali mingi kama sie but mumejitahidi sana
Tatizo ni mfumo tuliokua nao na rasilimali watu,wakati nyie mko bize na uchumi wenu,mwalimu alikuwa bize na ujamaa na ukombozi africa,
Tuna mkaka 30 tangu tumeingia partially kwenye mfumo wa soko unlike nyie,hopefully by 2030 ndio tunaweza kuwa kama nyie kimaendeleo kulingana na umri wenu kwenye ubepari
Nitafanya assessment ya ulinganifu by 2035 nione kama tutakuwa kwenye level yenu ya sasa kiuchumi,natumai Mungu atanipa uzima na afya