Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

yeah these make bigger money and live large
1644786.jpg
 
Nikwasababu top place kama posta huwez compare na sehemu changa kama upperhill...Posta Ni upperhill zenu tatu
ndugu, Upperhill only competes with the likes of Sandton, SA...the kind of development going on there is astonishing...hapo ndio Britam, prism, UAP, Pinnacle, Montave wote wapo bro
 
yap kama inalika ni chakula bas...kuna watu wanaokula chura, nyoka jelyfish na kadhalika...kisha chanuka bro,..cricket sio mende...mende ni cockroach😀😀😀Tanzanian English challenges naelewa lakini😀😀😀
Mambo ya kukurupuka nani kasema cricket ni mende
?
 
nadhani umenielewa...per capita ya Kenya ni mara mbili ya Bongo...this is what makes us men while you are only small boys trying to grow a beard...
Ni mtu mjinga pekee anayeweza kujisifia utajiri wa kinadharia wakati hana chakula wa nyumba ya kuishi, that is schizophrenic character.
 
ndugu, Upperhill only competes with the likes of Sandton, SA...the kind of development going on there is astonishing...hapo ndio Britam, UAP, Pinnacle, Montave wote wapo bro
Bro Izo porojo mtafute Mnigeria muungie...posta ina nyumba nyingi sana zilizoenda shule,Nakwambia hivi posta2ni upperhill 3...bisha kwa facts

Nyumba zilizoko Posta ndio Image ya Dar
 
Bro Izo porojo mtafute Mnigeria muungie...posta ina nyumba nyingi sana zilizoenda shule,Nakwambia hivi posta2ni upperhill 3...bisha kwa facts

Nyumba zilizoko Posta ndio Image ya Dar
fululiza picha tu tufananishe...hii ni debate...which means anything is subject to objection....if you can prove that Posta is more modern than this then I'd really like to see you try and fail
nairobi-cityscape-capital-city-kenya-modern-east-africa-83664265.jpg
19050350_435679663462418_5421951999912443904_n.jpg
eff87f4f-11d5-4094-801c-ee2caf2805a4-original.jpeg
upload_2017-1-6_20-24-23-png.455217
DBxdtXbXsAIMMyS.jpg
414470
12009760_39_z.jpg
81c36dde65a5cf2356454b6c26dcb5e4.jpg
britam.jpg
 
Back
Top Bottom