Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umepaniki buda.

4758c401464a64382550ddf4fbb10033.jpg
yap kama inalika ni chakula bas...kuna watu wanaokula chura, nyoka jelyfish na kadhalika...kisha chanuka bro,..cricket sio mende...mende ni cockroach😀😀😀Tanzanian English challenges naelewa lakini😀😀😀
 
hiyo ndio shida ya kutoa maneno kutoka katikati ya makalio badala ya kutoa kichwani,matokeo yake hata hukumbuki kufanya research, unakurupuka tu kama zombie.

last year, tanzania held number one position in africa for coconut production/cultivation and was in top ten list among worlds coconut producers.

1f1ab776bf3c7ec76ec5c1f1465dd720.jpg


isnt coconut not a cash crop?.
Lol.....coconut.....lealy....!!!!
 
another Lupita movie

waambie wakuletee mtanzania mmoja aliye level ya Wanyama, Rudisha Lupita na Olunga...akileta unitag

Mngejua kinachowapata hao hollywood mpaka kupata hizo contract za movie asee ni aibu sanaaa hata kusema
 
nani ako na zile picha za watanzania wamelewa na konyagi time ya Christmas............enyewe hiyo pombe ya Tanzania hapana. .....ilifanya nitapike sana......
 
Pwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?😀😀😀 Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
we ulifkiri tunagawa bure😀😀😀😀😀
 
umepaniki...msumari wa moto huo.
coconut ni childsplay bro...ongea kuhusu kahawa, chai maua na kadhalika...sio coconut...if I dont let this go si utaniletea pia diamond karanga ukiniambia tanzania ndio largest exporter😀😀😀😀
 
kwenye utalii walikua wanapishana na pesa😀😀
with all that tourism in Zanzibar which doesn't want to be part of wala ugali tanganyika why are wala urojo this poor still.........

kwenye utalii walikua wanapishana na pesa😀😀
with all that tourism in Zanzibar which doesn't want to be part of wala ugali tanganyika why are wala urojo this poor still.........
b4ae7a4376991a1e40b395695afaa65d.jpg
 
Back
Top Bottom