Ketraco owns zero of the said km, Tanzania government owns almost 98% of the distribution network, umewahi jiuliza tukiruhusu private sector kufanya hiyo shughuli.
About mwanza.
Kigoma the least developed of all is served by 400kv transmission line,
Sisi hatufanyi kwa mkumbo , shinyanga Iko served na 400kv ambako ndo kuna viwanda kuliko mwanza.
500kv ya Kenya ni private serikali yenu haina uwezo wa kujenga na mnahitaji hiyo sababu hamna umeme wa kuzalisha mpaka muombe🤣🤣🤣.
Any turkana na mandera washaacha kutumia diesel generators lini?