President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,988
- 93,338
Hii pia ilichukuliwa mwezi uliopita pita..pia utaikata?
View: https://www.youtube.com/watch?v=Qczsj1e58cI
Hiyo ni MGR mdogo wangu ilijengwa na German mwaka 1899. Muulize SGR ipo wapi?
Hii pia ilichukuliwa mwezi uliopita pita..pia utaikata?
View: https://www.youtube.com/watch?v=Qczsj1e58cI
Eti eti travel with the animals 🤣 🤣 President of China mskie uku jamaaa ana dharau sana eti travel with the animals
View: https://www.tiktok.com/@kenya.railways6/video/7652648543081073938
Hii pia ilichukuliwa mwezi uliopita pita..pia utaikata?
View: https://www.youtube.com/watch?v=Qczsj1e58cI
Ona jaba.Last month nimepanda hii kutoka Nairobi kwenda Mombasa!! Dah, nilikua, nikarudi Nairobi na ndege 🤣 , siti kuja kupanda tena maana hata hiyo first class is not worth it sababu ya bei ya juu sana!! Bora nipande ile skyward airways..
May take from the trip!!
Nairobi station imefichwa nyuma ya ma godown huko Mombasa road, what a poor choice of location. Vumbi tupu kama barabara ya kitunda.
Hivyo vitu vya economy nivigumu balaa, saa moja Tu huwezi kukaa tena utatafuta pa kusimamia.
Good thing ile treni ya kutoka Mombasa terminal to town, mnabahati sana la sivyo hakuna mtu angepanda hiyo treni. Station iko mbali sana.
All in all. Watanzani tushukuru mungu, kuna vitu wametuzidi ila sio kwenye treni. Na hapo bado sijaongelea Airport yao!! Mombasa kama soko la zamani la Kariakoo tu!! Nairobi dah!! Bora wajenge mpya tu maana dah!!
Tulishatoka huko miaka mingi iliyopita tumeanza kusahahuClassic😂
Nyani haoni kundule.
Afcon tutaona mengibya aibu
View: https://x.com/i/status/2068282784875970612
Wewe ni muingereza? Stupidi British BulldogWewe hujui kiingereza tulia, Zanzibar is beutifuly ndo nini. Siwezi bishana na mtu mwenye errors za kipumbavu.
Imejengwa. Kwani kuna mtu alisema haitajengwa. Imejengwa lakini ni uglySo haijajengwa?
It looks amazing and you know thatNothing is as ugly as the shape of a vagina. Have you ever seen it up close?🤣🤣🤣🤣
View attachment 3611595
Kuweka huyo mende kwenye stadium made it worse 😂View attachment 3611424
Wenyewe wanaufananisha na allianz arena uwanja uliojengwa 2005 na bado haujafikia hata uzuri wake hata 5%,talanta liko kama sufuria,then kwa audience capacity ni sawa tu na mkapa wala sio mkubwa kivile
Huwezi kubishana kwa sababu mtu amekosea spelling za neno la lugha ya kikoloni, tena ni second language kwake hata sio first languageWewe hujui kiingereza tulia, Zanzibar is beutifuly ndo nini. Siwezi bishana na mtu mwenye errors za kipumbavu.
Wewe ni mpumbavu, you need a bookWewe ni muingereza? Stupidi British Bulldog
Zanzibar is densely populated and poor 00:35, mzungu laments Zanzibar is not what it's advertised
View: https://youtu.be/8CtPldh9-uc?si=LFNgSGbQjDwHx54b
Africa yote inawajua kuwa wakenya ni wasaliti.Wewe ni mpumbavu, you need a book
Hajakosea spelling pekeake, grammar pia amevuruga. Hata tukirekebisha spellings, sentensi yake haileti maana kimantiki. Sijadili na mpumbavuHuwezi kubishana kwa sababu mtu amekosea spelling za neno la lugha ya kikoloni, tena ni second language kwake hata sio first language
Sasa naelewa kwa nini yule jamaa wa Russia aliwadinya mademu zenu
Zanzibar is poor, densely populated and dirty. Lamu island and Diani are more aesthetically pleasing. Diani has the best beach in Africa while Lamu has the best preserved Swahili settlement.But still nothing in Kenya comes close to Zanzibar kwenye suala la kuenjoy combination of white sandy beaches, rich history, Swahili culture, spices, delicious recipes, luxurious hotels near the ocean etc