Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Last month nimepanda hii kutoka Nairobi kwenda Mombasa!! Dah, nilikua, nikarudi Nairobi na ndege 🤣 , siti kuja kupanda tena maana hata hiyo first class is not worth it sababu ya bei ya juu sana!! Bora nipande ile skyward airways..
May take from the trip!!
Nairobi station imefichwa nyuma ya ma godown huko Mombasa road, what a poor choice of location. Vumbi tupu kama barabara ya kitunda.
Hivyo vitu vya economy nivigumu balaa, saa moja Tu huwezi kukaa tena utatafuta pa kusimamia.

Good thing ile treni ya kutoka Mombasa terminal to town, mnabahati sana la sivyo hakuna mtu angepanda hiyo treni. Station iko mbali sana.

All in all. Watanzani tushukuru mungu, kuna vitu wametuzidi ila sio kwenye treni. Na hapo bado sijaongelea Airport yao!! Mombasa kama soko la zamani la Kariakoo tu!! Nairobi dah!! Bora wajenge mpya tu maana dah!!
JKIA nshaandika novel kabisa 🤣 yaani ni vile hakuna other airport sasa ila lile ni banda la kuku
 

sio hizo tu, yaaani wewe tu uchague unataka wap

1781980016407.png
 
Meanwhile,
Dar Kigoma route is phenomenal,
Saratoga ameweka mzigo,
Mind you Kunyanis , there are several companies operating Dar - Kigoma Route ,
Saratoga pekee anapeleka gari Mbili kwa siku , yaani mbili zinatoka dar kwenda Kigoma, Mbili zinatoka Kigoma to Dar,
Plus there are countless companies doing Kigoma Arusha, Kigoma Mwanza etc
All are modern, recent PSVs imported at 0km direct from Manufacturers, with unique customization and sitting configurations as specified by the buyer during order placement.

IMG_3835.webp
IMG_3836.webp
 
Back
Top Bottom