Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanini tuhitaji kuwa na manyaya mengi wakati tunaweza safirisha kwa high voltage kubwa kuliko imagine 400kv Tanzania ni 1500+ km versus kenya 1020View attachment 3611419

Ebu angalia network ya Tanzania ilivyo comprise na hapo ni 100% government owned wakat Kenya 37% ya grid transmission ndo Iko chini ya serikali.
🤣🤣🤣🤣
View attachment 3611420
Yaan Kenya inamilikiwa na corporates kwa kweli , unajisifia distribution network ambayo serikali haimiliki hata 3000km 🤣🤣🤣🤣
Kenya kuna over 600km of 500KV. Enyewe we ni fala. 😂😂😂
Unajua bongoslum hakuna any 500KV line. Mwanza your 2nd biggest city hata haiko connected to a 220kv line leave alone a 400kv.
 
😂 Nlisema mara ngapi ..Nyani haoni Kundule
This is hater behavior on a national level,
Just mad Kenya takes the spotlight in East Africa, they feel they should be the top
Kelis moved from Atlanta to Naivasha for good ..She owns 300 acres and now negotiating with neighbors for an extra 200 acres…She has pioneered a new movement of American black celebrities who are planning to relocate permanently or part time to Kenya. Will Smith and Toni Braxton searching for spots …
Naomi Campbell already got her place set in Malindi . More are coming…
 
Kenya kuna over 600km of 500KV. Enyewe we ni fala. 😂😂😂
Unajua bongoslum hakuna any 500KV line. Mwanza your 2nd biggest city hata haiko connected to a 220kv line leave alone a 400kv.

Ketraco owns zero of the said km, Tanzania government owns almost 98% of the distribution network, umewahi jiuliza tukiruhusu private sector kufanya hiyo shughuli.
About mwanza.
Kigoma the least developed of all is served by 400kv transmission line,
Sisi hatufanyi kwa mkumbo , shinyanga Iko served na 400kv ambako ndo kuna viwanda kuliko mwanza.
500kv ya Kenya ni private serikali yenu haina uwezo wa kujenga na mnahitaji hiyo sababu hamna umeme wa kuzalisha mpaka muombe🤣🤣🤣.
Any turkana na mandera washaacha kutumia diesel generators lini?
 
ivi unajua wakina CAF president na FIFA president wanatakiwa kukaa apa 🤣 🤣 au wataangalia kwenye tv

View attachment 3611764
Watasimama
images - 2026-04-20T181301.401.jpeg
 
Back
Top Bottom