Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeangalia na amesema anaprefer diani na Mombasa ama Kenyan coast because of safety and cleanliness. Hakuna mahali ameongelea ease of owning land, kitu ameaema ni "the hardest part of buying land is everyone has something different to offer".
Unamkumbuka Shakira Mohamed?
 
kwahio ipi apo mwana etu ni commuter?
mko hadi na commuter...

View: https://www.youtube.com/watch?v=CyolJJ_6Ao8
1781971436670.png
1781971446512.png
1781971456162.png
1781971509844.png
 
Eti eti travel with the animals 🤣 🤣 President of China mskie uku jamaaa ana dharau sana eti travel with the animals


View: https://www.tiktok.com/@kenya.railways6/video/7652648543081073938

Last month nimepanda hii kutoka Nairobi kwenda Mombasa!! Dah, nilikua, nikarudi Nairobi na ndege 🤣 , siti kuja kupanda tena maana hata hiyo first class is not worth it sababu ya bei ya juu sana!! Bora nipande ile skyward airways..
May take from the trip!!
Nairobi station imefichwa nyuma ya ma godown huko Mombasa road, what a poor choice of location. Vumbi tupu kama barabara ya kitunda.
Hivyo vitu vya economy nivigumu balaa, saa moja Tu huwezi kukaa tena utatafuta pa kusimamia.

Good thing ile treni ya kutoka Mombasa terminal to town, mnabahati sana la sivyo hakuna mtu angepanda hiyo treni. Station iko mbali sana.

All in all. Watanzani tushukuru mungu, kuna vitu wametuzidi ila sio kwenye treni. Na hapo bado sijaongelea Airport yao!! Mombasa kama soko la zamani la Kariakoo tu!! Nairobi dah!! Bora wajenge mpya tu maana dah!!
 
Back
Top Bottom