game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,328
- 26,976
Yap, majitu ya Hovyo sana,Huyo ni Mnigeria sio mtalii.
Hao ndivyo walivyo.
Alikuja mmoja akazusha eti amebakwa na mlinzi hotelini, ili tu kuharibu image ya Zenji na ile Hoteli,
Thanks alidhibitiwa,
Zanzibar ni Paradiso,
Mji wa Zanzibar ni mzuri kuliko Mombasa,
Zanzibar pekee Ina Hoteli 1000+
Na Ina Hoteli za Nyota tano nyingi kuliko Kenya Nzima .