Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?😀😀😀 Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
Tanzania and Mozambique have the largest gas reserve more than world's largest producer Qatar
 
wacha pinnacle ndugu kwanza.
siwezi acha kuuliza ''pinako''.

mmekuwa mkitoa majigambo sana kuhusu pinnacle ilhali bado mnachimba shimo.ujenzi haujaanza.

iweje leo mtuzuie tusiulize...hapana tutawauliza mpaka mkereke.
 
Buhari's Visit To Brookside Diary Farm , See Cows - Photos - Politics - Nigeria
3347454_PresidentBuhariwithChairmanBrooksideDiaryFarmMrMuhohoKenyatta2_jpg658d300fb5498e2110d0aff26badac23
3347455_PresidentBuhariwithChairmanBrooksideDiaryFarmMrMuhohoKenyatta3_jpg22c91bae08b9aa33c33cc60085302d8d
3347456_PresidentBuhariwithChairmanBrooksideDiaryFarmMrMuhohoKenyatta1_jpgec68a81eae6aee4a5a339038d8315110
 
siwezi acha kuuliza ''pinako''.

mmekuwa mkitoa majigambo sana kuhusu pinnacle ilhali bado mnachimba shimo.ujenzi haujaanza.

iweje leo mtuzuie tusiulize...hapana tutawauliza mpaka mkereke.
sasa ujenzi unamalizika 2019 mbona hasira?😀😀😀😀Pinnacle litakuwa ndilo jengo lenye urefu kabisa Afrika nzima...hilo lisikutie pressure bro😀😀😀 nenda chooni kwanza utoe pressure angalau...vyuma vimekaza (in ichoboy's voice)😀😀😀
The Pinnacle | Upper Hill | 300m, 201m | 70, 45 fl | U/C - Page 78 - SkyscraperCity
 
Pwahahahahahahahahaha ebu leta kitu ambacho mmekifanyia kazi...sio kuleta vitu ambavyo Mungu aliumba mwenyewe...hata Nepal wana mlima wenye urefu zaidi duniani ila hamna anayejali.Nigeria wana mafuta nyingi kabisa Afrika ila hamna anayejali hilo...hio ni kazi ya Mungu bro...leta jasho ya wanadamu
For your information Tanzania is the largest sisal producer in africa and in the world
 
For your information Tanzania is the largest sisal producer in africa and in the world

haya hela mnazopata toka kwa sisal ni kiasi gani? mnaweza kuwa ndio nambari moja duniani kumbe hela mnazozipata ni ndogo tu...kwanza sisal hata haina market kubwa kama vile maua na chai
 
kenya kwa kilimo haswaa cash crops hamna nchi inaifikia afrika
hiyo ndio shida ya kutoa maneno kutoka katikati ya makalio badala ya kutoa kichwani,matokeo yake hata hukumbuki kufanya research, unakurupuka tu kama zombie.

last year, tanzania held number one position in africa for coconut production/cultivation and was in top ten list among worlds coconut producers.

1f1ab776bf3c7ec76ec5c1f1465dd720.jpg

isnt coconut not a cash crop?.
 
wacha pinnacle ndugu kwanza...dont change the story...hii hapa inaiaibisha PSPf na TPF na hakuna mnara...pole sana chokoraa...176m na 141m
28430406153_73df7f5b49_c.jpg
Hahaha Nairobi is just getting started in the scycrapper craze.... we were focussing on our roads then....now let's play ........in one and a half years jirani watajua hawajui.. . hahaha
 
hiyo ndio shida ya kutoa maneno kutoka katikati ya makalio badala ya kutoa kichwani,matokeo yake hata hukumbuki kufanya research, unakurupuka tu kama zombie.

last year, tanzania held number one position in africa for coconut production/cultivation and was in top ten list among worlds coconut producers.

1f1ab776bf3c7ec76ec5c1f1465dd720.jpg
coconut inawaletea hela kiasi gani😀😀😀😀usi reason kama panya bro😀😀😀😀sisi tunaingiza 1 billion plus toka kwa maua tu
 
Pwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?😀😀😀 Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
mbosho on one side....hahaha
 
another Lupita movie

waambie wakuletee mtanzania mmoja aliye level ya Wanyama, Rudisha Lupita na Olunga...akileta unitag
 
Back
Top Bottom