Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania will surpass that in 2 years to come.

Godfrey Simbeye, executive director of Tanzania Private Sector Foundation, said that the horticulture revenue will grow to 1.3 billion U.S. dollars by 2020,

Tanzania's 2020 horticulture revenue to double that of 2016 - Xinhua | English.news.cn
kwa sababu Kenya itakuwa imekwama kwanzia sasa hivi mpaka 2020...huna akili kabisa wewe kumbe...Kenya kwa sasa haina haja ya kuongeza production na revenue sio? ama Kenya iko katika hali ya recession? sio? wakati mnafikia hio 1.3B na ninashuku sana kama mtafika pale, Kenya itakuwa inazungumzia 2.6B au zaidi...
 
kwa sababu Kenya itakuwa imekwama kwanzia sasa hivi mpaka 2020...huna akili kabisa wewe kumbe...Kenya kwa sasa haina haja ya kuongeza production na revenue sio? ama Kenya iko katika hali ya recession? sio? wakati mnafikia hio 1.3B na ninashuku sana kama mtafika pale, Kenya itakuwa inazungumzia 2.6B au zaidi...
That's pain in the butt pole, we are coming
 
kwa sababu Kenya itakuwa imekwama kwanzia sasa hivi mpaka 2020...huna akili kabisa wewe kumbe...Kenya kwa sasa haina haja ya kuongeza production na revenue sio? ama Kenya iko katika hali ya recession? sio? wakati mnafikia hio 1.3B na ninsahuku sana kama mtafika pale, Kenya itakuwa inazungumzia 2.6B...
Ungejiuliza swali hilo, Kenya ilikuwa wapi ilipopitwa kwenye utalii?, ilipopitwa katika ukuaji wa uchumi?, ilikua imelala pale ilipopitwa katika kuvutia FDI kwa wingi?, ilikuwa wapi pale unemployment inavyoongezeka?
 
msumari wa moto huo....
msumari upi bana...ast Africa's takkest building 176 m uko karibu kumalizika...
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
na jengo hili halina mnara kwa sababu mnapenda sana kulia lia kuhusu minara...AVIC 176m, 140m
28430406153_73df7f5b49_c.jpg

AVIC International Africa Headquarters | Westlands | 176m, 141m, 93m, 86m, 83m, 81m | 43, 35, 28, 25, 24, 24 fl | U/C - SkyscraperCity
 
Tuje kwa kahawa, Kenya nambari tatu baada ya Ethiopia na Uganda...kish namsikia mjinga flani akijaribu kufananisha agriculture Kenya na Bongo..ndugu tafta kazi..yaani mpaka Buhari, Rais wa Nigeria na Cyril Ramaphosa, naibu rais wa Afrika Kusini wanatambua kuwa Kenya ni hatareee kwa kilimo cha cash crops...
huyu hapa Buhari akiwa Kenya kujifunza kilimo cha maziwa
BROOK.jpg

Ramaphosa promises to turn around ANC, praises Kenya model
He said South Africa has a lot to learn from Kenya, especially in agriculture sector, which is well developed.
Hahaha alafu mnakula mende?

Tanzania largest producer of cotton this year harvest will double
 
Hahaha alafu mnakula mende?

Tanzania largest producer of cotton this year harvest will double

mende pngine mamako😀😀😀😀kisha usiwe unafululiza upumbavu wako hapa kila wakati....kenya inaongoza kwa cash crops (flowers, tea, coffee etc) kwa food crops bado sana...ama ulikuwa unataka tule maua ili tuishiwe na njaa?😀😀😀
 
tulia kama unanyolewa.

btw, pinnacle imefikia wapi?... bado mnachimba shimo? ..tuwekee picha za current construction.
wacha pinnacle ndugu kwanza...dont change the story...hii hapa inaiaibisha PSPf na TPF na hakuna mnara...pole sana chokoraa...176m na 141m
28430406153_73df7f5b49_c.jpg
 
Pwahahahahahaha yaani nimcheka sana bro...asante kwa hilo...sasa maharage ndio accomplishment sasa?😀😀😀 Maharage yanawaletea hela kiasi gani kwanza...tuanzie hapo mkuu kisha fananisha hela hizo na hla zinazotoka kwa chai, kahawa na maua tuone nani mjinga kati yetu...
Ninyi mnalima maua, then mnaomba food donation, kichaa cha mimba hicho
 
Tanzania has the largest concentration of wild animals in the world

Pwahahahahahahahahaha ebu leta kitu ambacho mmekifanyia kazi...sio kuleta vitu ambavyo Mungu aliumba mwenyewe...hata Nepal wana mlima wenye urefu zaidi duniani ila hamna anayejali.Nigeria wana mafuta nyingi kabisa Afrika ila hamna anayejali hilo...hio ni kazi ya Mungu bro...leta jasho ya wanadamu
 
Back
Top Bottom