Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
tulia bas nikuletee statisticsSi useme how much you earn anually!!!!!au ndio yale yale ukubwa wa pua.
tulia bas nikuletee statisticsSi useme how much you earn anually!!!!!au ndio yale yale ukubwa wa pua.
tuanzie kwa how much money we make in that sectorHahaha eti hakuna nchi Africa inayoifikia Kenya, ni bora tu useme kwa mujibu wa akili yako, Tanzania is now holding that status for your information.
Huyo hajielewi hajui statistics zilizotolewa mwaka jana na wizara ya kilimo zinaonesha mapato ya horticulture Tanzania yatapita mapato ya sector ya utalii kwa ujumla mwaka huu.Si useme how much you earn anually!!!!!au ndio yale yale ukubwa wa pua.
Hili jengo la NHC limepewa jina la Baba wa Taifa lipo pembeni mwa Las vegas Casino pale Ali Hassan Mwinyi Road kwenye mataa au kipende cha kulekea Aga Khan Hospital. CRDB HQ pia ipo barabara hiyo hiyo karibu na Kituo cha utamaduni cha China au Palm Beach Hotel& Casino.mkuu tusaidie tusiopenda kutembea sana...liko wap hili jengo? na hilo jengo la CRDB HQ linajengwa wap?
kabla uzungumze pumba, fatilia resarch kwanza limbukeni mkubwa ww...Huyo hajielewi hajui statistics zilizotolewa mwaka jana na wizara ya kilimo zinaonesha mapato ya horticulture Tanzania yatapita mapato ya sector ya utalii kwa ujumla mwaka huu.
Note mapato ya sector ya utalii Tanzania ni karibia mara mbili ya Kenya.
Hao wanaishi kwa kujazana sifa za kijinga, wala hajui kiasi gani wanapata, hilo swali ni gumu sana kwakeSi useme how much you earn anually!!!!!au ndio yale yale ukubwa wa pua.
Tanzania's 2020 horticulture revenue to double that of 2016 - Xinhua | English.news.cnkabla uzungumze pumba, fatilia resarch kwanza limbukeni mkubwa ww...
http://kenyaflowercouncil.org/?page_id=92
Tanzania will surpass that in 2 years to come.kabla uzungumze pumba, fatilia resarch kwanza limbukeni mkubwa ww...
http://kenyaflowercouncil.org/?page_id=92
Taja pesa wewe, ni kiasi gani mnapata kutokana na hayo mazao, hata mkiwa number moja lakini mapato kama ni kidogo inasaidia nini?, hayo yote unayotaja, yakusanye kwa pamoja hayafikii pesa yetu ya goldTuje kwa kahawa, Kenya nambari tatu baada ya thiopia na Uganda...
