Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wa Congo man wanazingua li nchi likubwa lenye arable land ya kutosha linakuwa na njaa kama Kenya!
wakongomani na wakenya ni baba mmoja mama mbalimbali.

wakongo wanapenda kuchubua ngozi zao ili wafanane na wazungu wa ufaransa wakati wakenya wanapenda kuzungumza kingereza ili wafanane na waingereza.
 
Such a simplistic mentality! Why then do we belabor with the EAC if we can't do the mere minimum of unhindered trade? I'm pretty sure in the long run if Kenyan buyers run away,it's the Tz sellers that will feel the pinch.
Acha kujipa matumaini ya kizamani, all people move around the globe looking for business opportunities, people do fight to get those opportunities, if they leave to day, that will be filled within hours not days.
 
kwa lugha nyepesi arable land in kenya zimeshikwa na settlers pamoja na politicians, ikiwa kenyatta anamilikia ardhi ina ukubwa zaidi ya jamaica 15,000 km sq na ni arable land unategemea aache kufanya biashara ya faida ya maua alime chakuka cha wakenya?😀😀😀
Hii ni mbaya sana,yaani bora angeilima yote halafu auzie majindi serikali kwa bei rahisi.

Huku bwana vihela vyako nenda mbeya kalime mpunga,moro kalime viazi,iringa kalime mahindi au bukoba kalime ndizi ni wewe tu.
 
naona maumivu yamekua makali zaidi😀😀😀😀😀
Uchumi wenu unaendelea kuporomimoka hadi IMF wamewaonya na nyinyi hapa nikujifariji na mambo ya kimama
5f8abb140b77cb9978a70fb02a79d168.jpg
 
tanzania hatuna njaa that's why our country is not painted with the red color in the global risk map of 2018.

1573df1cae1da5c6374a69bc2b98f470.jpg

ingekuwa yenu iko painted mngeanza kushambulia wazungu...hahaha.Northern Kenya problem of food insecurity is something we are working on.....sisi hatukatai report hata kama inauma
 
Such a simplistic mentality! Why then do we belabor with the EAC if we can't do the mere minimum of unhindered trade? I'm pretty sure in the long run if Kenyan buyers run away,it's the Tz sellers that will feel the pinch.
tanzania haitegemei kenya kwa chochote my friend hilo ulijue labda uniambie kenya ndio inaihitaj sana tanzania😀😀😀😀😀😀😀
 
Uchumi wenu unaendelea kuporomimoka hadi IMF wamewaonya na nyinyi hapa nikujifariji na mambo ya kimama
5f8abb140b77cb9978a70fb02a79d168.jpg
tunataka kodi ipatikane hatutaki ujanja wa kuihujumu nchi
nchi bila kodi ni sawa na kiganja bila vidole,
so tanzania sio ile ya 90s sasa hvi ni kazi na ulipe kodi ikiwa watalii wanalipa kodi 18% je mfanya biashara wa kawaida inakuaje???
 
ingekuwa yenu iko painted mngeanza kushambulia wazungu...hahaha.Northern Kenya problem of food insecurity is something we are working on.....sisi hatukatai report hata kama inauma
Kutatua tatizo la chakula kenya ni lazima mdeal na wanaomilliki arable land walime mazao ya chakula ...zaid ya hapo labda mkalime mahindi kwenye greenhouse ka inawezekana hahahhahahah
 
Kenya is the world's largest producer of cut flowers
flowerrs.jpg
Hebu waambia bro,been trying to drive sense to them all morning with little effect due to their closed perception of reality and sheer ignorance!
sijui kama mnajua revolution ya horticulture inayoendelea Tanzania nyie mpo kwenye maua Tanzania ipo everywhere how much you earn annually?
greenhouses-horticulture-production-for-export-to-europe-aerial-view-CP8TNA.jpg
greenhouses-horticulture-production-for-export-to-europe-aerial-view-CP8TYK.jpg
greenhouses-horticulture-production-for-export-to-europe-aerial-view-CP8TGG.jpg
greenhouses-horticulture-production-for-export-to-europe-aerial-view-CP8TKN.jpg
download (1).jpg
 
ingekuwa yenu iko painted mngeanza kushambulia wazungu...hahaha.Northern Kenya problem of food insecurity is something we are working on.....sisi hatukatai report hata kama inauma
Kumbe mnajua mna matatizo chungu mzima kwenye nchi yenu na kwa taarifa yako hakuna tatizo baya kama njaa isiyokoma hakuna mwaka Kenya imewahi kuwa sustainable kwenye chakula never hakuna cha kusema mnalishughulikia hilo ni your permanent close partner hunger and famine.

Juzi uhuru alivyokua sa nilimsikia Zuma akimpa promo kwamba Kenya is well developed in modern farming kwa kweli nilicheka kimoyomoyo nikasema akutukanae hakuchagulii tusi.

Na nyie mnavyopenda misifa inawezekana mlizipokea hizo sifa as if you deserve it wakati mnakufa na njaa
 
Kumbe mnajua mna matatizo chungu mzima kwenye nchi yenu na kwa taarifa yako hakuna tatizo baya kama njaa isiyokoma hakuna mwaka Kenya imewahi kuwa sustainable kwenye chakula never hakuna cha kusema mnalishughulikia hilo ni your permanent close partner hunger and famine.

Juzi uhuru alivyokua sa nilimsikia Zuma akim promo kwamba Kenya is well developed in modern farming kwa kweli nilicheka kimoyomoyo nikasema akutukanae hakuchagulii tusi.

Na nyie mnavyopenda misifa inawezekana mlizipokea hizo sifa as if you deserve it wakati mnakufa na njaa
We know that there is hunger. That's why it's widely reported. The problem was that reliance on rain fed agriculture. The gort is now moving to build mega dams for irrigation. Last years drought hit us hard but the gort is now restocking the reserves
 
These dams seem to be built on the sky I have been hearing this chronic song for years now
 
We know that there is hunger. That's why it's widely reported. The problem was that reliance on rain fed agriculture. The gort is now moving to build mega dams for irrigation. Last years drought hit us hard but the gort is now restocking the reserves
Haya ni maneno ya siasa na kujipa matumaini, serikali ya Kenya na viongozi wengine are very poor in priority setting, hivi kuna sababu gani ya kujenga Thikha high way, au SGR, au kuanza ujenzi wa Lamu port kabla ya Galana project, leo hii Nairobi hakuna maji kwasababu bwawa limekauka, lakini viongozi wanajisikia fahari kuzindua mirani mikubwa ambayo effect yake ni ndogo sana kulinganisha na hiyo wanayoipuuza.
 
ingekuwa yenu iko painted mngeanza kushambulia wazungu...hahaha.Northern Kenya problem of food insecurity is something we are working on.....sisi hatukatai report hata kama inauma

acheni kujitetea kwa kutumia excuses za kijinga.

misri, morroco, tunisia na namibia ni nchi ambazo sehemu kubwa ya ardhi ni jangwa lakini hazijawekewa red color kwenye globa risk map.

ina maana huo ukame wa northern kenya ndio umesababisha nchi zima ya kenya iwe katika kundi la high risk?.smh.

ni aibu kwa middle income kuwa painted with red color.tokeni hapo kwa red.

fb6ce2a1787dee96579da12d2e5e997d.jpg

NB:
leteni ile map ya LDC countries ili twende sawa.
 
Back
Top Bottom