El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
yes......But u r DC!
yes......But u r DC!
Njaa,inatoka wapi?yes......
Hii ni Kenya MLDC, hivi huwa mnaringa kwa kitu gani? Duh this you will never find in tanzaniahahaha.....sahii hakuna njaa Kenya bana hadithi za last year when it failed to rain for 10 months
Kuna mtanzania anaishi hivi?Nyinyi mli arrest journalist alifichua njaa Tanzania hahaha......
Kama media si huru,Kuna mtanzania anaishi hivi?![]()
Sasa ulishasikia mtanzania anapewa subsidy kwenye unga na serikali?? Ulishasikia mtanzania anailalamikia serikali Hana unga? Indicator number one ya kufanya kazi kwa bidii ni kujitosheleza kwa chakula kabla ya mambo mengine.Lol.....working hard indeed
Hahaha njaa unaweza ificha? Njaa ni kama pembe la ng'ombe halifichiki.Kama media si huru,
ukireport njaa unakamatwa,
uzuri ya kenya kila mtu ako na haki ya kujieleza,hapo kwenu Jounalist hawezi sema anything kuhusu nchi...nina uhakika mmeficha vitu mob sana
tokeni kwanza hapo kwa red color ndio mkuje tubonge issue ya food securityhahaha.....sahii hakuna njaa Kenya bana hadithi za last year when it failed to rain for 10 months
breaking news.
in the latest global risk map of 2018, kenya is painted with the RED color.
in the map, red color stands for high risk areas that could likely be attacked by food shortage/hunger.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaha MLDC wanalo mwaka huu lazima waje Tanzania kwa magotibreaking news.
in the latest global risk map of 2018, kenya is painted with the RED color.
in the map, red color stands for high risk areas that could likely be attacked by food shortage/hunger.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
tanzania hatuna njaa that's why our country is not painted with the red color in the global risk map of 2018.Kama media si huru,
ukireport njaa unakamatwa,
uzuri ya kenya kila mtu ako na haki ya kujieleza,hapo kwenu Jounalist hawezi sema anything kuhusu nchi...nina uhakika mmeficha vitu mob sana

hahaha.. watajibeba.Hahaha MLDC wanalo mwaka huu lazima waje Tanzania kwa magoti

Tough times ahead as maize harvest dropshahaha.....sahii hakuna njaa Kenya bana hadithi za last year when it failed to rain for 10 months
Tough times ahead as maize harvest drops
Tena mwaka huu 2018 njaa inatazamiwa kuwa kali zaidi, mshukuruni Mungu kwa sababu Tanzania kuna chakula cha ziada, otherwise mngekufa wengi sana

Jacob Juma alipojari kutumia uhuru wa kujieleza kulitokea nini?Kama media si huru,
ukireport njaa unakamatwa,
uzuri ya kenya kila mtu ako na haki ya kujieleza,hapo kwenu Jounalist hawezi sema anything kuhusu nchi...nina uhakika mmeficha vitu mob sana