joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Is Kenyan Media Really Free?Kama media si huru,
ukireport njaa unakamatwa,
uzuri ya kenya kila mtu ako na haki ya kujieleza,hapo kwenu Jounalist hawezi sema anything kuhusu nchi...nina uhakika mmeficha vitu mob sana
Kenya haijawahi kuwa na freedom yoyote ile, zaidi ya maneno ya kujisifia, journalists are under constant threats all year long