Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kaaa kimya hujui chochote kuhusu football, you dont know anything about skybox kwahio kaa kimya
The one who knows about skyboxes built outside stadiums 😂😂😂😂
SkyBox ni nje ya structure ya uwanja, a special place created to be dependant not using the stadium stractures, makeit short, Talanta haina skybox and neither will it have
 
Wamesafisha leo na pia nyasi wameanza kupanda upya or macho yangu?
When were Talanta seats installed na nyasi zilipandwa lini? Mbona huu uwanja inawasumbua akili hivi na mlishasema haitajengwa?

Viti ziliwekwa Talanta when leveling ya playing surface hata haikuwa imeisha, leave alone kupanda nyasi!
 
The one who knows about skyboxes built outside stadiums 😂😂😂😂

Usituletee makasiriko bana 🤣 kwan sisi ndo tuliwaambie muite sykbox and we told you early these arent skybox

1781468510560.png

nenda kamlilie mchina bana
 
Was it supposed to remain like that two weeks since the cover was taken off. This is why I always say upo desperate
amna sku utakuja kuaga na akili 🤣 🤣 kwahio hizo renda ulikua unamtumia nan sasa wakati ulikua unajua kabisa the grass was dake, infact the problem ata sio cover, bana the grasss ni fake bana mbna tushaelezea toka mwanzo kabla hata hazijapandwa, oooh i forgot unatoka slum kumbe 🤣🤣 usilete ngombe uku bana

1781468646583.png

and another thing fanyeni usafi bana, uwanja mchafu sana
 
Wamesafisha leo na pia nyasi wameanza kupanda upya or macho yangu?
wamerudia kupanda nyasi juzi juzi apa walitangaza kabisa

1781468764591.png

Nicxie usipende kukaa village sana una aibika sasa 🤣 🤣 yaaani tuwafundishe skybox na nyasi tena tuwafundishe? someni bwana
 
The one who knows about skyboxes built outside stadiums 😂😂😂😂
kwahio wachina ndo waliwaambia hii ndo skybox sio? 🤣 🤣 na hapa watu hawajakaa pale mbele au nyie mliambiwa skybox zinakuaje wanaetu

1781470013240.png
 
Nicxie na Teargass naskia mliambiwa hizi ni skybox 🤣🤣 sasa those days when we were telling you the keyword is elevated mkawa mnatuona kama hatuna akili sio 🤣🤣 sasa mtaangalia migongo ya watu ama msimame mtachagua wenyewe

1781470133513.png
 
wamerudia kupanda nyasi juzi juzi apa walitangaza kabisa

View attachment 3607974

Nicxie usipende kukaa village sana una aibika sasa 🤣 🤣 yaaani tuwafundishe skybox na nyasi tena tuwafundishe? someni bwana
Considering there is no any active league in Kenya for that facility,
I can bet how this pitch will look like months after Afcon , trust me it will be more of goats grazing fields, Mark my words.
 
Considering there is no any active league in Kenya for that facility,
I can bet how this pitch will look like months after Afcon , trust me it will be more of goats grazing fields, Mark my words.
si ndo nlikua namuuliza Nicxie huo uwanja mnaupeleka wap, sisi wenyewe 5th in africa we dont need any more 60k stadium maaana kuujaza sio kitoto, sasa fikiria hawa wazee wa arsenal BTW its easy to know what will happen after AFCON check kasarani
 
I told you I live in the country that invented the skybox idea . I have been inside one several times officially and casually. Sasa wewe unajua skybox in theory only .so again ask me I will enlighten you.
wacha wee tell us more

1781470964153.png
 
Back
Top Bottom