Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,263
- 18,080
asante sana ila mkungute ilo vumbi sasa
View attachment 3607940
alafu kila ikifika zam ya Teargass lazima kue na vumbi sana sjui hajui kupinda kiuno
View attachment 3607942
na uku nyuma mrekebishe sasa, mambo ya kuonyesha watu mnaishi kwenye mabati mda wa AFCON hatutaki
View attachment 3607944
bila kusahau na apa pafanyiwe usafi
View attachment 3607945
View: https://x.com/CJ_Haslett/status/2059303106140139918?s=20
Baada ya matabirio yao kwamba haitajengwa, minyamwezi yamebaki yakilamba wounds zao na kutiririkwa na nachozi huku wakijifariji 😂😂😂