stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,232
- 33,821
Sisi ama nyie, wewe ulikua unapost zile lounge unaziita skybox and tukakuuliza unajua maana ya skybox? wewe unapost zile sehem za kula zile sio SKy Box, in reference angalia hii video ya Amahoro tour uwaskilize wakionyesha skybox ni ipiWatanzania kama wote ni kama hawakujua Skybox ni nini?
View: https://www.youtube.com/watch?v=xpbRx_3ZCOc&t=751s