President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,985
- 93,327
Halafu tofauti ya pesa za IMF mlizokopa kulipia mkopo pesa zingine zinatokana na Remittances inayoitwa Proxy Money Laundering
Halafu tofauti ya pesa za IMF mlizokopa kulipia mkopo pesa zingine zinatokana na Remittances inayoitwa Proxy Money Laundering
Naona bado muko in denial, munapost picha za kwenye hajafanya finishing ndio mujiliwaze. Hii hamtoboi.Wafanye kazi mara ngp wakati kazi inaonekana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Itoshe kusema umeelewa kinachobaki ni ubishi tu.Shauri yako
Elimu muhimu.Aslimia kubwa ya pesa hizo ni mkopo kutoka IMF kwaajili ya kulipia madeni.
Mnakopa ili mlipe mkopo 🤣 🤣 🤣 Jinga kabisa
Aslimia kubwa ya pesa hizo ni mkopo kutoka IMF kwaajili ya kulipia madeni.
Mnakopa ili mlipe mkopo 🤣 🤣 🤣 Jinga kabisa
Source The Kenyan WallStreet tangu lini wakenya wakaandika ukweli? 🤣 🤣 🤣 Kenya imeshakufa kiuchumi msitafuta farajaBongolala bongo jinga.
View attachment 3606327
Story ya Februry. Leo ni mwezi gani kweli ndugu British Bulldog?Elimu muhimu.
Dollar reserves are actual hard dollars in possession of the Central Bank for exchange at any time.
That's why Kenya unlike Bongolala, does not limit dollar usage in the country. We have enough to go around.
View attachment 3606326
Kojoa ulaleSource The Kenyan WallStreet tangu lini wakenya wakaandika ukweli? 🤣 🤣 🤣 Kenya imeshakufa kiuchumi msitafuta faraja
Njaa inawasumbua wakenya wengi hata uwezo wa kuchanganua mambo mnashindwa. Henry Rotich na Gavana wa CBK wa sasa Dr. Kamau Thugge waliiangamiza Kenya baada ya kumshauri Kenyatta na Big PushKojoa ulale
View attachment 3606329
Ugandan budget imepita ya Tanzania. GDP per Capita yao ilishapita ya Tanzania as well.
I think it's now safe to say that Ugandan economy is the third biggest in East Africa after
Kenya
Ethiopia
Uganda
View: https://x.com/i/status/2064936556771840115

Name the biggest in Africa Geuza.still can't be the biggest in Africa!