Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Technically, all the gold lying unmined in your lands is your national reserve.
You just don't know how to use it. Wacheni kulalisha bongo.
Mkenya baada ya kula ugali wa mahindi toka Tanzania

1781262063877.png
 
Mkenya baada ya kula ugali wa mahindi toka Tanzania

View attachment 3606243

For a country that claims to feed us, why are you still poorer? 😂😂
A Kenyan can comfortably travel to TZ, even posting how things are cheap, but a Bongolalan goes broke the moment they enter Namanga border 😂😂

Logically speaking, because you 'feed' us. You should be the big boss of the region.

You're so used to your simple poor miserable life, that you don't know the possibilities. Very few of you travel, imagine of traveling or have the means to travel to foreign countries.

Kenya issued the same number of passports in the last 3 years than TZ has issued since independence.

ps1.JPG

ps2.JPG
 
Kaka kuna vitu fulani unachanganya sana. Hebu kaa kwa utulivu usome ninachokiandika. Nimegundua kitu kimoja kwakuwa umefanya kazi kwenye Benk kama IT ulikuwa unaona shuguli za ki operations. Kwa sababu umewahi kufanya kazi katika sekta ya kibenki upande wa uendeshaji (Operations/IT), unaona mchakato wa kibenki kupitia "screen ya kompyuta pekee" (mabadiliko ya daftari, kutuma ujumbe wa SWIFT, Straight-Through Processing).
But kuna details nyingi sana unashindwa kuzielewa.

Ngoja kwanza nianze kwa kueleza makosa yaliyomo kwenye comment yako hii na kisha nieleze ukweli wa mambo.

Kosa kubwa na la hatari la kiufundi (Catastrophic Technical Error) ambalo ambalo umelionesha na linafunga mjadala mzima ni:-

Net Open Position (NOP) Limits

Benki Kuu (BoT) huweka ukomo wa kisheria wa kiasi cha fedha za kigeni ambacho benki binafsi za biashara (kama CRDB au NMB) zinaweza kuwa nacho mwisho wa siku. Lengo ni kuzuia mabenki kufanya uvumi wa bei (Currency Speculation). Benki ikivuka ukomo huo, haitoi fedha hizo bure kwenda serikalini, bali inalazimika kuziuza kwenye Soko la Mabenki (Interbank Foreign Exchange Market) ili kupata Shilingi.

Uhalisia wa Umiliki
Fedha zilizopo CRDB au NMB ni amana za wateja binafsi na makampuni. Kisheria, Benki Kuu haiwezi kuzichukua na kuzihesabu kama "Akiba ya Taifa" kwasababu hiyo itakuwa ni kutaifisha mali za watu binafsi (Expropriation).

Akiba Halisi ya Taifa (Official Foreign Reserves)
Ukweli ni kwamba Akiba ya Fedha za Kigeni ya Taifa (Official Foreign Reserves) haitokani na ziada hizo za mabenki binafsi, bali inamilikiwa na kusimamiwa na Benki Kuu (BoT) pekee kwenye akaunti zake za kisheria zilizopo nje ya nchi (kama Federal Reserve ya Marekani au Bank of England) kupitia vyanzo rasmi kama mauzo ya dhahabu na mikopo ya serikali. Hizi namba za Dola za akiba ya BoT kule nje ndio rasilimali halisi (Settlement Asset) inayolinda uaminifu na kuipa ukwasi ile mifumo ya ujumbe wa SWIFT tunapoagiza miundombinu; na ndio maana akiba hiyo ya BoT inapopungua, soko la ndani linakosa Dola na thamani ya Shilingi yetu mtaani inashuka kwasababu huwezi kusafisha madeni ya dunia kwa kutumia akiba ya mabenki ya biashara ya ndani.

Kunajambo unatakiwa ukubali kujifunza na usome kwa utaratibu sana.
Unarudia the same same mistake, the info i am trying to tell you is the reality of how things are plus nmekuekea screenshots za ziada ila kama hutak kuamini tena mpaka apo sasa sjui tunafanyaje
 
President of China this can help you more maaana nakuelezea hutak kuniamini

1781263713460.png

1781263746321.png

But also i dont blame anyone because its rarely understood by most people until you step your foot at a central bank ndo utaelewa whats going on
 
View attachment 3606252

View attachment 3606253
now give us latest data on extremely poor countries on earth
 
Unarudia the same same mistake, the info i am trying to tell you is the reality of how things are plus nmekuekea screenshots za ziada ila kama hutak kuamini tena mpaka apo sasa sjui tunafanyaje
Kaka hapa tunazungushana tu. Kama umeshindwa tu kujua kazi ya Hifadhi ya Taifa (Foreign Reserves) na maelezo yako unaelezea Net Open Position (NOP) Limits. Sina maelezo mengine ya kukufundisha.

Soma hapa maelezo mwenyewe toka BoT (Mimi siongelei hizo bank za ndani kama CRDB, NMB nk)

For a country that claims to feed us, why are you still poorer? 😂😂
A Kenyan can comfortably travel to TZ, even posting how things are cheap, but a Bongolalan goes broke the moment they enter Namanga border 😂😂

Logically speaking, because you 'feed' us. You should be the big boss of the region.

You're so used to your simple poor miserable life, that you don't know the possibilities. Very few of you travel, imagine of traveling or have the means to travel to foreign countries.

Kenya issued the same number of passports in the last 3 years than TZ has issued since independence.

View attachment 3606252

View attachment 3606253
Poor is ony a person who do not have food.
 
Kaka kuna vitu fulani unachanganya sana. Hebu kaa kwa utulivu usome ninachokiandika. Nimegundua kitu kimoja kwakuwa umefanya kazi kwenye Benk kama IT ulikuwa unaona shuguli za ki operations. Kwa sababu umewahi kufanya kazi katika sekta ya kibenki upande wa uendeshaji (Operations/IT), unaona mchakato wa kibenki kupitia "screen ya kompyuta pekee" (mabadiliko ya daftari, kutuma ujumbe wa SWIFT, Straight-Through Processing).
But kuna details nyingi sana unashindwa kuzielewa.

Ngoja kwanza nianze kwa kueleza makosa yaliyomo kwenye comment yako hii na kisha nieleze ukweli wa mambo.

Kosa kubwa na la hatari la kiufundi (Catastrophic Technical Error) ambalo ambalo umelionesha na linafunga mjadala mzima ni:-

Net Open Position (NOP) Limits

Benki Kuu (BoT) huweka ukomo wa kisheria wa kiasi cha fedha za kigeni ambacho benki binafsi za biashara (kama CRDB au NMB) zinaweza kuwa nacho mwisho wa siku. Lengo ni kuzuia mabenki kufanya uvumi wa bei (Currency Speculation). Benki ikivuka ukomo huo, haitoi fedha hizo bure kwenda serikalini, bali inalazimika kuziuza kwenye Soko la Mabenki (Interbank Foreign Exchange Market) ili kupata Shilingi.

Uhalisia wa Umiliki
Fedha zilizopo CRDB au NMB ni amana za wateja binafsi na makampuni. Kisheria, Benki Kuu haiwezi kuzichukua na kuzihesabu kama "Akiba ya Taifa" kwasababu hiyo itakuwa ni kutaifisha mali za watu binafsi (Expropriation).

Akiba Halisi ya Taifa (Official Foreign Reserves)
Ukweli ni kwamba Akiba ya Fedha za Kigeni ya Taifa (Official Foreign Reserves) haitokani na ziada hizo za mabenki binafsi, bali inamilikiwa na kusimamiwa na Benki Kuu (BoT) pekee kwenye akaunti zake za kisheria zilizopo nje ya nchi (kama Federal Reserve ya Marekani au Bank of England) kupitia vyanzo rasmi kama mauzo ya dhahabu na mikopo ya serikali. Hizi namba za Dola za akiba ya BoT kule nje ndio rasilimali halisi (Settlement Asset) inayolinda uaminifu na kuipa ukwasi ile mifumo ya ujumbe wa SWIFT tunapoagiza miundombinu; na ndio maana akiba hiyo ya BoT inapopungua, soko la ndani linakosa Dola na thamani ya Shilingi yetu mtaani inashuka kwasababu huwezi kusafisha madeni ya dunia kwa kutumia akiba ya mabenki ya biashara ya ndani.

Kunajambo unatakiwa ukubali kujifunza na usome kwa utaratibu sana.

Benki Kuu (BoT) huweka ukomo wa kisheria wa kiasi cha fedha za kigeni ambacho benki binafsi za biashara (kama CRDB au NMB) zinaweza kuwa nacho mwisho wa siku. Lengo ni kuzuia mabenki kufanya uvumi wa bei (Currency Speculation).

Hapana, kwanza benki kuu haijui chochote kinachondelea kwenye benki za biashara, all they rely on is end of the day balance sheet ya mabenki mfano , opening and closing accounts, reserves za benki yenyewe cash, mikopo iloorudishwa and all sort of things, what happens on every moment of the day BOT has no idea of that
Uhalisia wa Umiliki
Fedha zilizopo CRDB au NMB ni amana za wateja binafsi na makampuni. Kisheria, Benki Kuu haiwezi kuzichukua na kuzihesabu kama "Akiba ya Taifa" kwasababu hiyo itakuwa ni kutaifisha mali za watu binafsi (Expropriation).

that was the biggest lie ever told, the money you hold is simply a debt needed to be paid somewhere else and its that way by purpose if all the debt was to be paid then tanzania will have 0Tsh circulating in the economy!

1781264633765.png

So the money your holding a debt to be paid somewhere else but still itsnot supposed to be paid because that would be the end of money

Akiba Halisi ya Taifa (Official Foreign Reserves)
Ukweli ni kwamba Akiba ya Fedha za Kigeni ya Taifa (Official Foreign Reserves) haitokani na ziada hizo za mabenki binafsi, bali inamilikiwa na kusimamiwa na Benki Kuu (BoT) pekee kwenye akaunti zake za kisheria zilizopo nje ya nchi (kama Federal Reserve ya Marekani au Bank of England)

unarudia makosa yale yale, money doesnt work that way and it will never work that way
 
President of China this can help you more maaana nakuelezea hutak kuniamini

View attachment 3606256

View attachment 3606257
But also i dont blame anyone because its rarely understood by most people until you step your foot at a central bank ndo utaelewa whats going on
Haya hapa naelezo ya BoT wabishie nao sasa kaka
Foreign Exchange Reserve
The official foreign exchange reserves are managed in line with the investment policies approved by the Board of the Bank. The Bank holds the reserves according to the provisions 51 and 52 of the Bank of Tanzania Act of ,2006.

The objectives of the financial markets are to ensure that the Bank preserves capital, meets liquidity needs and enhances income given the viability of the market environment. The official foreign currency mix is constructed in such a way that it matches the currency composition of expected foreign debt service obligations, the import bill as well as non-import outflows.

The rationales for holding reserves are to:

  • Provide import cover and assist the government in meeting its foreign exchange needs,
  • Provide confidence that the government can meet short term foreign debt obligations,
  • Support monetary and exchange rate policies, including the capacity to intervene in support of the national currency,
  • Support the Bank’s income by generating reasonable return consistent with the Bank’s risk tolerance.
Reserve Management

The BoT Act requires the Bank to maintain adequate official foreign exchange reserve equivalent to at least four months imports and the requirements of international transactions of the United Republic for the same period of time. The reserves are used for:
  • Servicing government external debt and non-debt government external obligations.
  • Intervention in the local foreign exchange market when deemed necessary to smoothen erratic movements of the exchange rates and BoT external payments.
  • Providing a cushion against external crises, among others.
The size of official reserve serves as a confidence signal to potential investors, rating agencies and those contemplating capital flight. To ensure prudence in the management of reserve, the objectives of the BOT foreign exchange reserve policy are: Capital preservation, Liquidity and Generation of Return.

Kaka hapa tunazungushana tu. Kama umeshindwa tu kujua kazi ya Hifadhi ya Taifa (Foreign Reserves) na maelezo yako unaelezea Net Open Position (NOP) Limits. Sina maelezo mengine ya kukufundisha.

Soma hapa maelezo mwenyewe toka BoT (Mimi siongelei hizo bank za ndani kama CRDB, NMB nk)

Apo sasa ni wewe utaamua, mm nshakuelezea vya kutosha na screenshots juu
 
Haya hapa naelezo ya BoT wabishie nao sasa kaka
Foreign Exchange Reserve
The official foreign exchange reserves are managed in line with the investment policies approved by the Board of the Bank. The Bank holds the reserves according to the provisions 51 and 52 of the Bank of Tanzania Act of ,2006.

The objectives of the financial markets are to ensure that the Bank preserves capital, meets liquidity needs and enhances income given the viability of the market environment. The official foreign currency mix is constructed in such a way that it matches the currency composition of expected foreign debt service obligations, the import bill as well as non-import outflows.

The rationales for holding reserves are to:

  • Provide import cover and assist the government in meeting its foreign exchange needs,
  • Provide confidence that the government can meet short term foreign debt obligations,
  • Support monetary and exchange rate policies, including the capacity to intervene in support of the national currency,
  • Support the Bank’s income by generating reasonable return consistent with the Bank’s risk tolerance.
Reserve Management

The BoT Act requires the Bank to maintain adequate official foreign exchange reserve equivalent to at least four months imports and the requirements of international transactions of the United Republic for the same period of time. The reserves are used for:
  • Servicing government external debt and non-debt government external obligations.
  • Intervention in the local foreign exchange market when deemed necessary to smoothen erratic movements of the exchange rates and BoT external payments.
  • Providing a cushion against external crises, among others.
The size of official reserve serves as a confidence signal to potential investors, rating agencies and those contemplating capital flight. To ensure prudence in the management of reserve, the objectives of the BOT foreign exchange reserve policy are: Capital preservation, Liquidity and Generation of Return.

😎 😎 Hawajakosea because thats what the public has to know, however sio issue sana apo utaamua mwenyewe sasa kufanya research
 
1781265201816.png
 
unarudia makosa yale yale, money doesnt work that way and it will never work that way

Kaka unataka uwe na akili kuzidi wataalam wote wa Central Banks zote dunia wanaoweka Foreign Reserves.
Kwanza nikuulize maana huenda tunabisha kitu ambacho hakipo.
Unanibishia kitu gani? Tuanze kwanza hapa.

Maelezo ya Screenshot hii hapa chini unaelewa nini?
1781265329306.png
 
Haya hapa naelezo ya BoT wabishie nao sasa kaka
Foreign Exchange Reserve
The official foreign exchange reserves are managed in line with the investment policies approved by the Board of the Bank. The Bank holds the reserves according to the provisions 51 and 52 of the Bank of Tanzania Act of ,2006.

The objectives of the financial markets are to ensure that the Bank preserves capital, meets liquidity needs and enhances income given the viability of the market environment. The official foreign currency mix is constructed in such a way that it matches the currency composition of expected foreign debt service obligations, the import bill as well as non-import outflows.

The rationales for holding reserves are to:

  • Provide import cover and assist the government in meeting its foreign exchange needs,
  • Provide confidence that the government can meet short term foreign debt obligations,
  • Support monetary and exchange rate policies, including the capacity to intervene in support of the national currency,
  • Support the Bank’s income by generating reasonable return consistent with the Bank’s risk tolerance.
Reserve Management

The BoT Act requires the Bank to maintain adequate official foreign exchange reserve equivalent to at least four months imports and the requirements of international transactions of the United Republic for the same period of time. The reserves are used for:
  • Servicing government external debt and non-debt government external obligations.
  • Intervention in the local foreign exchange market when deemed necessary to smoothen erratic movements of the exchange rates and BoT external payments.
  • Providing a cushion against external crises, among others.
The size of official reserve serves as a confidence signal to potential investors, rating agencies and those contemplating capital flight. To ensure prudence in the management of reserve, the objectives of the BOT foreign exchange reserve policy are: Capital preservation, Liquidity and Generation of Return.

1781265392359.png
 
Back
Top Bottom