President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,524
- 94,000
Kwanza unanibishia kitu gani sasa maana nakuona tu una quote tu na kuweka screenshot. Sielewi hata unachotaka kueleza, nimekuuliza kazi😎 😎 Hawajakosea because thats what the public has to know, however sio issue sana apo utaamua mwenyewe sasa kufanya research
ya Foreign Reserves ukaleta maelezo ya Net Open Position (NOP) Limits.
Sijui hata namna ya kukusaidia. Upo na ujuaji mwingi sana. Wewe baada ya kuona transaction za ki operation kwenye Computer unadhani mauziano ya nchi na nchi yanafanya hivyo.
Kubali kuelimishwa acha kuwa rigid