babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,725
Uko sahihi, PM wa Singapore anateuliwa na Rais ila Rais anapigiwa kura na wananchi na Rais ana uwezo wa kumfuta PM kazi.Stupid Kunyarendan huyo ni kiongozi mdogo tu hapo Singapore , nafasi yake ni ya kuteuliwa tu na Raisi.. kwa maneno mengine huyu mtu wako si final say. Anaweza kutenguliwa muda wowote. 😂😂😂
Wewe ndio una wivu, halafu unaita washamba 😂😂😂 kilaza mmoja wewe
Watu hawataki kujifunza namna mambo yanaenda ati kisa uzalendo. 😂😂😂