Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 1,722
- 4,602
Nyasi enye mnamwagilia kwa kindoo 😂😂👇🏾Mbilikimo bado anaangoja nyasi zikose kumea, thinking he knows better than CRBC.
Nyasi enye mnamwagilia kwa kindoo 😂😂👇🏾Mbilikimo bado anaangoja nyasi zikose kumea, thinking he knows better than CRBC.
We ni pumbavu, Serikali ya Singapore inaongozwa na Prime Minister, the president ni kama flower girl tu. Bongolala hamunanga akili, unadhani ju President anachagua PM eti sasa PM hana powers, read books bana, mupunguze ujinga. 😂 😂 😂Stupid Kunyarendan huyo ni kiongozi mdogo tu hapo Singapore , nafasi yake ni ya kuteuliwa tu na Raisi.. kwa maneno mengine huyu mtu wako si final say. Anaweza kutenguliwa muda wowote. 😂😂😂
Wewe ndio una wivu, halafu unaita washamba 😂😂😂 kilaza mmoja wewe
Unaona ndoo wapi hapo? Endele kuumia.Nyasi enye mnamwagilia kwa kindoo 😂😂👇🏾View attachment 3604550
Huoni ndoo nikuonyeshe.? 😂😂Unaona ndoo wapi hapo? Endele kuumia.
Mwenzetu nairobae naona issue ya picha moja ya drone view imewafanya wakenya waweze kuchanganyikiwa. Pole lakini, maana sote tunajua hali yenu hapo kenya ya ukosefu wa chakula jinsi ilivyo leta athari kubwa kwenye uwezo wenu wa kufikiri.In Singapore the president's role is ceremonial na hana powers nyingi za kuongoza serikali kama za Prime Minister. The government is led by the Prime Minister na ndio alikuja Kenya back in 2023. Bongolala muwache ushamba bana.
![]()
![]()
Hahaa prime minister anateuliwa na rais budaWe ni pumbavu, Serikali ya Singapore inaongozwa na Prime Minister, the president ni kama flower girl tu. Bongolala hamunanga akili, unadhani ju President anachagua PM eti sasa PM hana powers, read books bana, mupunguze ujinga. 😂 😂 😂
![]()
![]()
![]()
![]()
Unanyweshea maji na kindoo unatupigia kelele.? 😂😂😂Weke mk*ndu vizuri sindano iingie.
![]()
Kelele za Chura jiwekee, serikali ya Singapore inaongozwa na Prime Minister.Mwenzetu nairobae naona issue ya picha moja ya drone view imewafanya wakenya waweze kuchanganyikiwa. Pole lakini, maana sote tunajua hali yenu hapo kenya ya ukosefu wa chakula jinsi ilivyo leta athari kubwa kwenye uwezo wenu wa kufikiri.
Kwanza JF inataka ikuingize kwenye darasa la diplomasia. Waziri mkuu wa Singapore huteuliwa na Rais, pia unatakiwa utofautishe kati ya State Visit na official Visit. Waziri mkuu wa Singapore alitembelea kenya kwa official Visit.
Lakini Rais wa Singapore katembele Tanzania kwa State Visit. State Visit lengo lake ni Kuimarisha uhusiano wa kimkakati na kuonesha heshima kubwa kati ya mataifa. Na hii hutokea mara chache sana kati ya nchi na nchi.
Lakini hizo official visit huwa zinatokea mara nyingi tu.
Sasa baada ya somo hili nakutpia kamba uchague mwenyewe namna ya kujinyonga.
Lakini cha muhimu zaidi hapa Jukwaa zima halitaki mabishano ya namna hii maana ni trivial, wato wote humu wanasubiri picha ya drone view ya Nairobi.
😂😂😂Mbilikimo bado anaangoja nyasi zikose kumea, thinking he knows better than CRBC.
Usiwe mjinga oyaaaaaHahaa prime minister anateuliwa na rais budaView attachment 3604570
Ndo maana nakuambia wewe ni mjinga hujui lolote , prime minister always ni kiongozi parliamentary system . Prime minister wa Singapore mamlaka yake ni bungeni na kwa mawaziri , hana uwezo wa kufukuza waziri yoyote Wala kuteua.Usiwe mjinga oyaaaaa
Singapore has a parliamentary system of government modeled after the Westminster system. It operates as a parliamentary republic where the Prime Minister serves as the head of government and the President acts as the head of state with limited custodial veto powers.
Wajinga kama nyinyi ambao hamna prime minister hamjui loloteUsiwe mjinga oyaaaaa
Singapore has a parliamentary system of government modeled after the Westminster system. It operates as a parliamentary republic where the Prime Minister serves as the head of government and the President acts as the head of state with limited custodial veto powers.
Kwanza ndugu yetu nairobae nilikuwa najua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo lakini si kwa kiwango hiki ulichokionehsa leo.Kelele za Chura jiwekee, serikali ya Singapore inaongozwa na Prime Minister.
Akili za kibongolala zimekuambia powers ni kuhusu ule anaweza fukuza mwingine kwa serikali. 😂 😂 😂 Heee kama hii ndio akili ukonayo, wewe usizalishe. Tafuta wakati usome kuhusu parliamentary system of governance.Hahaa prime minister anateuliwa na rais budaView attachment 3604570
Sasa kama rais hana mamlaka inakuwaje ndo mteuzi wa mawaziri . Waziri mkuu hana uwezo wa kufukuza waziri yoyote maana hajawateua yeyeView attachment 3604573
Mjifunzage jinsi nchi zenye prime minister zinavyofanya kazi mbwa nyinyi , Kenya hakuna prime minister hamjui lolote
Oops!!!.. the grass keep getting greener … 🤣🤣🤣…Show me another stadium in this region with this environment.
View attachment 3604524
Tanzania haina a parliamentary system of governance. Wewe ni fala bana.Wajinga kama nyinyi ambao hamna prime minister hamjui lolote View attachment 3604574
Tanzania has the same model ila katika hybrid .
🤣🤣🤣🤣
Really ?.. is that a question?… nyumba zangu zote ni za gorofa .. Kenya na Marekani … jinyonge !..😆