Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unapiga bati juu chini sideways yaaani sawa na bure
1781013183000.png
 
Wakati akina Ruto na wenzake IamLee Teargass mwaiofhawaii Nicxie nairobae NairobiWalker nyangau mkenya Wakiota nchi yao iwe kama Singapore, leo Rais wa Singapore yupo Dar es salaam tukijadiliana naye biasha. Nimewaomba wakenya watume picha moja tu ya drone ya Nairobi ili aweze kuiona na ndoto ya kenya kuwa Singapore itokee leo

View attachment 3604411

View attachment 3604414

View attachment 3604415

View attachment 3604417
hii inaitwa unaemtaka hakutaki
 
Oak & Ivy - Loresho, Nairobi. ​

20 Acre Community

Some 'slums' frequently mentioned here by President of China are less than 5 acres in size.

View: https://www.youtube.com/watch?v=CNTY_NDqBms

Kijana wetu kennedy0000 watu humu tumekubalina kwamba iletwe picha moja tu ya drone view. Hakuna siyejua namna Nairobi ilivyo ndogo just one drone shot it convers the whole Nairobi. Hii tabia ya kutuletea link za video na kupuuza takwa la wanaukumbi si kwamba tu haioneshi namna uelewa wenu ulivyo mdogo bali inaonesha pia namna msivyo wastaarabu.

Sasa wewe!! unaleta hii video itasaidia nini? Watu wa JF ni wasomi na wenye kazi zao wapo busy. Unadhani kuna mtu yeyote atafungua na kuanza kupitia hiyo vlog ya kijana toka Kibera?

Please please andabu na ustaarabu hauuzwi, jifunze kuwa navyo.
 
Wakati akina Ruto na wenzake IamLee Teargass mwaiofhawaii Nicxie nairobae NairobiWalker nyangau mkenya Wakiota nchi yao iwe kama Singapore, leo Rais wa Singapore yupo Dar es salaam tukijadiliana naye biasha. Nimewaomba wakenya watume picha moja tu ya drone ya Nairobi ili aweze kuiona na ndoto ya kenya kuwa Singapore itokee leo

View attachment 3604411

View attachment 3604414

View attachment 3604415

View attachment 3604417
Yaani pamoja na kushoboka kote kutaka kuwa “Singapore” 😂😂😂
 
Bongolalas are equivalent to an ostrich that has buried its head in the sand hoping not to be noticed by the predators…🤣🤣🤣
Nikkas believe they don't have slums when countries like Brazil, a developing middle-income country, have known slums. Sasa sijui wao ni better than Brazil when their cityscape looks like this from one end to another
39789654-aerial-view-of-the-city-of-dar-es-salaam-showing-the-densely-packed-houses-and-buildi...jpg
 
Nikkas believe they don't have slums when countries like Brazil, a developing middle-income country, have known slums. Sasa sijui wao ni better than Brazil when their cityscape looks like this from one end to another
View attachment 3604451
Slums are caused by wealth gaps, when few people own so much then slums appear, you might be suprised some less developing nations hazina slums, its because the whole country share a level of prosperity, not that equal but the gap isnt too much, In kenya the gap is the widest in Africa and it can never come down because all the wealthy individuals have already acquaired key sectors

For example when we talk of land, your talking of 90% owned by less than 6 people, when you talk of business then thats where it gets worse, your talking of multi national companies owning every inch of that village and the gap becomes even wide, if a normal kenyan cant have a business what do you expect?

Your economy isevery easy to predict and you can understand the failure points, your doing a tough job trying to pain a country that can never go up again, Even whats worse you havent seen enough slums yet, you have more to see as of now the national budget uses half of it to pay debts
1781017965789.png

1781017909378.png
 
Nikkas believe they don't have slums when countries like Brazil, a developing middle-income country, have known slums. Sasa sijui wao ni better than Brazil when their cityscape looks like this from one end to another
View attachment 3604451
Mwenzetu Nicxie mbona unahaha sana na kuanza kufukua makaburi ya Dar? Dar ilishatoka huko, picha uliyoleta ni ya more than decade. Lakini Gen-Z wanashukuru kwa kuwaonesha TBT.

Lakini picha hii haikupi uhalali wa kuacha kutuma picha moja ya Drone View ya Nairobi. Kuweka picha ya zamani sana ya Dar es salaam na kukwepa kuweka picha moja tu ya Nairobi watu wenye akili timamu wanaweza tafsiri kuwa ni wendawazimu. Lakini mimi siwezi kukuita kuwa wewe upo na mtindio wa ubongo kutokana na ukosefu wa chakula unaoikumba nchi ya kenya bali JF ni shule Mungu akipenda watu wa humu watakupatia msaada wa dawa ya ubongo wako.

Lakini dunia yote inasubiri picha moja tu ya drone view toka Nairobi
 
Nikkas believe they don't have slums when countries like Brazil, a developing middle-income country, have known slums. Sasa sijui wao ni better than Brazil when their cityscape looks like this from one end to another
View attachment 3604451
However Tanzania cant go through kenya route because it has EXPORTS, when you export you earn alot of foreign money, now the central banks mostly keeps them if a country exports are so low but for a nation that has a HEALTHY BALANCE SHEET of which its only tanzania that holds that level, day to day oeprations are easily settled because money comes and money goes

In economics we call them EX CHEQUERS meaning you pay for what you use, unlike kenya it has very minimal and the lowest exports in africa, it relies heavily on debt to pay for its needs, which creates another problem, where do you get the extra money to pay from the interest? then you will have to feel the pain

In country like kenya, most debts are for servicing another debt or build flyovers which arent money generating from itself, overall You are yet to see more slums till then maybe you might be able to do some exports of which its unlikely to happen, for the time being just be ready for more taxes everywhere

View: https://x.com/moneyacademyKE/status/2064360335046279462?s=20

I know you have started seeing alot of 1k notes recently it isnt by mistake but it has to happen

View: https://x.com/grok/status/2064361243155034247?s=20
 
Back
Top Bottom