Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 🤣 Nicxie umepanic. Yaani umeleta picha 21!!! Ktika picha zote hizo hakuna drone view photo ya Nairobi.
Picha zote hizo ulizoweka hatuoni maeneo haya kwa sababu picha hizo ni oblique siyo verticle

  • Kibera
  • Mathare
  • Mukuru kwa Njenga
  • Mukuru kwa Reuben
  • Mukuru Kayaba
  • Viwandani
  • Korogocho
  • Kawangware
  • Kangemi
  • Dandora
  • Kariobangi
  • Majengo
  • Kiambiu
  • Deep Sea
  • Huruma
  • Matopeni
  • Maili Saba
  • Baba Dogo
  • Githogoro
  • Mitumba
  • Kitui Village
  • Kanuku
Kijana wetu kubali tu kwamba drone view photo italeta aibu hapo Nairobi, na watu wote watakuelewa kwa uungwana huo
Wewe ni desperation inakuuwa. Did you say hakuna picha ya Kariobangi? Isn't this one of pictures I posted here? Is this Temeke?
images - 2025-02-02T110729.094 (1).jpeg
 
Bongolala sema ni data huna ya kuwatch videos. Stop hiding behind keyboard wakati wewe ni moja ya wale watu wanashinda humu hadi usiku wa manane. Wewe na Stakehigh anayeshinda humu 24/7 mko na tofauti gani? Alafu unakuja hapa na nyefnyef eti mko busy 😂😂
Ndugu yetu Kundudweller aka Nicxie unaporomosha maneno haya yote kwasababu watu hapa wamekuomba ulete picha moja tu ya drone view? au ni ule ungonjwa wako kifafa na kupoteza kumbukumbu umefika masaa yake?

1. Unanituhumu kuwa sina bando halafu wakati huo huo unasema mimi na Stakehigh tunashinda kwenye mitandao 24/7 - Watu hapa JF hawahitaji kuwambiwa kuwa wewe ni kichaa wanaona wenyewe.

2. Picha moja tu ya drone view watu wanaililia waweze kuiona. Kuna wawekezaji na watalii wamo humu JF wanasubiri picha yako watie timu hapo Nairobi.

Mimi binafsi sikulaumu kwa comment zako za namna hii kwa sababu najua hali yenu ya ukosefu wa chakula hapo Kenya. watalaam wanasema mtoto akikulia katika mazingira ya chakula duni anakuwa na mtindio wa ubongo.

Tuwapatie chakula bora watoto wetu jamani
 
toka kachezea lile panga naona saaahv anaona akaunti 2 zinaonekana moja 🤣 🤣 eti Nicxie sight haijakaa vizuri nn mpaka akili inasoma akaunti 2 kama 1
 
Masaki, Mikocheni, Msasani. Some of the fishing village's most expensive neighbourhoods.
This is what bongolalas think can compete with Nairobi. Top tier delusions.

Even our 'poor' estates are well planned with proper grids. In dar fishing village, you can't tell where the roads begins or end even in 'rich' estates.
Bongoslum's most expensive residential estates can only compete with the likes of Kahawa Sukari and Thome in Nairobi.

As one bongolala said the other day, Dar is more pedestrian friendly than Nairobi. I agree, because no car can drive through such a maze of narrow donkey tracts.

ms.JPG

ms1.JPG

ms2.JPG
 
View attachment 3604289
View attachment 3604290
View attachment 3604291
enhe what else?
 
Wewe ni desperation inakuuwa. Did you say hakuna picha ya Kariobangi? Isn't this one of pictures I posted here? Is this Temeke? View attachment 3604282
Nicxie nakusihi unywe maji mengi sana kama maji yapo hapo Nairobi ili ukipoze kichwa chako. Hakuna mtu aliyekataa kuwa picha hii siyo ya Nairobi na kuwa hayo maendeo siyo Kariobangi. Je umeona mtu amekataa? But picha hiyo ni Oblique. Dunia yote inasubiri picha moja tu ya drone kutoka kwa majirani zetu Kenya. Kumbuka Rais wa Singapore yupo hapa Tanzania amekuja na watalii na wawekezaji.

Ile Ndoto yenu na Ruto ya kuifanya Kenya Singapore itatimia leo. Waambie wataalam wote wa hapo Nairobi watume picha chap.

Kwa namna ulivyo mgumu wa kuelewa unadhani haya ni matani.
 
Back
Top Bottom