Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3603817
I hope this simple screenshot will answer this composition

Bado Kumbe hata uelewa wako uko chini , kwa hiyo evidence hapo juu Ina maana investors wako more confident na crdb bank ndo maana valuation yake sokoni Iko kwenye 2.7 bil usd with asset value ya 8bil usd ila kcb pamoja na kuwa na asset value kubwa lakini investors hawako confident kuizid crdb na ndo maana wako na market capitalization ya below 2bil usd.🤣🤣🤣🤣
Inshort both crdb na nmb ziko foreseeable future kuliko all those banks mlizonazo🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20260608-202657~2.jpg

Imagine each banks market capitalization is double that of your largest banks
 
Tangu Safaricom wapike zile Data za transaction matrioni, hawaaminiki tena hapa duniani.
Just like I predicted 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haijachujua hata dakika moja
Despite giving him official information from Safaricom itself, the Nyamwezi will still come back disputing everything and cap it off with "hizo ni data za kupikwa" 🤣🤣🤣🤣
 
Tunaambiwa ziko na enough spaces za watoto kuchezea. Pia tunaambiwa ziko na choo na bafu ndani wakati we all know mwendo huko ni shared pit latrines, something you'll have a hard time finding in Nairobi. Hawa wenzetu ni kuwafurahisha tu ila hapa hakuna battle
Mkimaliza kujifurahisha mtatuambia
 
Bado Kumbe hata uelewa wako uko chini , kwa hiyo evidence hapo juu Ina maana investors wako more confident na crdb bank ndo maana valuation yake sokoni Iko kwenye 2.7 bil usd with asset value ya 8bil usd ila kcb pamoja na kuwa na asset value kubwa lakini investors hawako confident kuizid crdb na ndo maana wako na market capitalization ya below 2bil usd.🤣🤣🤣🤣
Inshort both crdb na nmb ziko foreseeable future kuliko all those banks mlizonazo🤣🤣🤣🤣
Bongolala, the tweet one of posted here mentioned VALUE. Hadi aliyepost ajasena vile benki zenu are now more valuable than our leading banks. Why are you changing gear mid-air?
 
Bongolala, the tweet one of posted here mentioned VALUE. Hadi aliyepost ajasena vile benki zenu are now more valuable than our leading banks. Why are you changing gear mid-air?
Ndo maana unaambiwa huelewi post imejieleza kuwa ni market capitalization, wewe ndo unataka kubadilisha ili ionekane ni value
 
Back
Top Bottom