President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Teargass hizi hapa sasa takwimu za kisomi kupitia TIPS. More than 90% ya digital transaction huko Kenya ni M-Pesa ya safaricom
View: https://x.com/Uchumi360/status/2063941043226067215?s=20
TIPS 1.98 Million agents
All Kenya Mobile 473,536 agents
Tunaambiwa ziko na enough spaces za watoto kuchezea. Pia tunaambiwa ziko na choo na bafu ndani wakati we all know mwendo huko ni shared pit latrines, something you'll have a hard time finding in Nairobi. Hawa wenzetu ni kuwafurahisha tu ila hapa hakuna battleHizi ndio estate zao huko bongoslum. 😂 😂 😂
Kibera is 2.5 square kilometers. How big do you think this slum is?
Leta picha ya hiyo mtaa same angleKila siku tunaweka humu picha huzioni. Unataka mtaa gani niende nikapige sasa hivi nikuletee?
Hutaki picha za Dar?sasa na wewe jitahidi uwe na picha mpya izo picha tushazichoka,
Space ya barabara hakuna, ya kucheza ndio itapatikana.Tunaambiwa ziko na enough spaces za watoto kuchezea. Pia tunaambiwa ziko na choo na bafu ndani wakati we all know mwendo huko ni shared pit latrines, something you'll have a hard time finding in Nairobi. Hawa wenzetu ni kuwafurahisha tu ila hapa hakuna battle
NairobiWalker sisi tunakuja mdogo mdogo tu na tunachukua kitu kimoja komoja
View: https://x.com/Uchumi360/status/2063872458512310463?s=20
Panya routes everywhere alafu tunaambiwa hapa eti kuna spaces za watoto kuchezea. If they can't create spaces za barabara sasa za watoto kuchezea ndio zitapatikana?Space ya barabara hakuna, ya kucheza ndio itapatikana.
Hizo Kes 38.3 Trn umezitoa wapi maana hazipo kwenye hiyo picha yako. Total mobile transaction value ya kenya ni KSh 8.23 Trillion (~$63.8 Billion USD) wakati Tanzania. Huku M-Pesa iki monopolize more than 96%The total value of all digital payments in Bongoslum yote haifikii hata ya Mpesa. In fact Mpesa's total value is almost double ya all digital payments ya bongoslum yote.
MPESA alone Kes 38.3 Trn
All Digital payments in Bongoslum Kes 20.6 Trn
Sasa hua munabishana nini hata? Hamuna aibu?
View attachment 3603760
Picha ya 2011Kibera is 2.5 square kilometers. How big do you think this slum is?
View attachment 3603787
Unatamani iwe hivyo lakini dunia imewakataa. Hizo taarifa unazitoa kichwani mwako tu, siyo uhalisiaBongolala, KCB alone is valued at more than $12 billion.
Equity Bank is valued at $13.9 billion.
Number mtazidi kusoma. Pole kwa maumivu 😂😂
Pole Nyamwezi, sio kupenda kwakoUnatamani iwe hivyo lakini dunia imewakataa. Hizo taarifa unazitoa kichwani mwako tu, siyo uhalisia
Unaelewa maana ya market capitalization au ndo zile elimu za kuunga.Bongolala, KCB alone is valued at more than $12 billion.
Equity Bank is valued at $13.9 billion.
Number mtazidi kusoma. Pole kwa maumivu 😂😂
Weka matako vizuri sindano iingie, MPESA pekee is 2 times bigger than your entire digital payment economy.Hizo Kes 38.3 Trn umezitoa wapi maana hazipo kwenye hiyo picha yako. Total mobile transaction value ya kenya ni KSh 8.23 Trillion (~$63.8 Billion USD) wakati Tanzania. Huku M-Pesa iki monopolize more than 96%
Huku tanzania Mobile Transaction value kupitia TIPS ni TZS 255.13 Trillion (~$94.5 Billion USD)
Amka utajikojolea unaota, na hii is just in one year, bishara nyingi zikiunganishwa mtalia. Also Tanzania tupo na *TANQR *
TANQR (Standardized National QR Code): Tanzania imekuwa nchi ya kwanza ukanda huu wa Africa kusanifisha QR Code moja ya kitaifa. Huna haja ya kuwa na QR ya benki tofauti tofauti mezani kwako; QR moja inaunganisha mabenki na mitandao yote kupitia TIPS.
Sasa hiyo Screenshot ndiyo official source? 🤣 🤣 🤣 🤣 Mtoto wangu wa miaka 4 anazitengeneza sana hizi.Pole Nyamwezi, sio kupenda kwako
View attachment 3603813
Tweet aliyoleta kilaza mwenzako ndio ilikuwa official source!Sasa hiyo Screenshot ndiyo official source? 🤣 🤣 🤣 🤣 Mtoto wangiu wa miaka 4 anazitengeneza sana hizi.
Umri wako ni miaka mingapi?