stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 38,126
- 37,781
Bei ya Iriza Brand new kwa Ksh - KSh 60.2 Million – 67.8 Million+Ndo nlikua namuuliza Teargass juzi kama anajua thamani ya hayo mabasi, timu inapokea 30M miaka 4 ndo mkataba huo 🤣 kueni serious kidogo mwaiofhawaii
eti Teargass and mwaiofhawaii & Nicxie mm na nyie nan anajua uchumi?View attachment 3594957
What to expect
1) pipeline will have the lowest annual revenues in the last decade
2) Inflation will rise atleast ~13%
3) Even more bad debts will be the only option for Mathare
Nakuomba usikilize hapa ili uweze kupata impact ya Ziara ya Rais urusiMi sio kundi la Maria na sijawahi.
Sisi tumepoteza muda wetu wa zaidi ya mika 7 tunawapinga hao waki a Maria kwenye kila platform pamoja na hapa JF.
Labda kama wewe ni mgeni.
apa amna renders kama zile wanapost apa 🤣 🤣Wamejitutumua kujengewa uwanja unaokaribia Mkapa Stadium kwa ukubwa ila sasa shida ni kenyan standard (affordable standard) 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahio ukaamua kutumia AI au sio