Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Toa huu umbea wa kihindi humu 🤡
Fake as the whole Bollywood 🤡

images (20).jpeg
Screenshot_20260525-195534.jpg
 
1779728702072.png

What to expect
1) pipeline will have the lowest annual revenues in the last decade
2) Inflation will rise atleast ~13%
3) Even more bad debts will be the only option for Mathare
 
So how much did you pay for that cheap Bollywood report? 🤡🤡 Too much numbers like chillies they consume per day View attachment 3594951
Kaka Ripoti yao hii hapa official source:

NB: TCRA record you only Active accounts zilizotumika japo mara moja kwa mwezi (Ndani ya miezi mitatu ambazo hazijatumika waha record)
Kenya (KNBS) including active, inactive, and dormant accounts" (Page 6, Table 14(d) note 1)

KNBS imerocord kwenye report hiyo Transactions Volume 217.6 million kwa mwezi wakati Tanzania (TCRA) 1.99 billion transactions kwa miezi mitatu sawa na wastani wa 664 million monthly

Kaka hiyo ni report yao mengine wanaweka humu ni uongo
 
Tuwache watalaamu tukuskize wewe primary school dropout, MPESA alone does a revenue of 1.2billion USD. Shikanisha your top banks and mobile money providers na bado hio figure hawawezi fikia. Ndio maana wewe ni primary school dropout.
Aisee kanjibahi kafanya desk research and modeling 😅😅😅 unajua maana yake lakini 🤡🤡
Screenshot_20260525-195534.jpg
 
Kaka Ripoti yao hii hapa official source:

NB: TCRA record you only Active accounts zilizotumika japo mara moja kwa mwezi (Ndani ya miezi mitatu ambazo hazijatumika waha record)
Kenya (KNBS) including active, inactive, and dormant accounts" (Page 6, Table 14(d) note 1)

KNBS imerocord kwenye report hiyo Transactions Volume 217.6 million kwa mwezi wakati Tanzania (TCRA) 1.99 billion transactions kwa miezi mitatu sawa na wastani wa 664 million monthly

Kaka hiyo ni report yao mengine wanaweka humu ni uongo
Sahihi kabisa, hizi reports nazifatilia kwa ukaribu mno zote, tunaelewa serikali ya Kenya na entities zake wamebobea kwenye kufake data kwa kiwango cha kutisha though zipo baadhi wanajisahau, hii ni moja kati ya report wameshindwa kuipika, so it's very true value ya transactions zao ipo poorly low compared na zetu.
 
If you engage in discussion with me, you must be of sound mind. I follow the details.
Hii hapa taarifa uliyoiweka kwenye comment yako.
I told you hapa kuna technical mistake. Kubali tuendelee na mambo mengine.
"...a total of KShs 2.3 trillion transaction value via the app across 896.2 billion transactions."

If you divide the total value (KShs 2.3 trillion) by the number of transactions (896.2 billion), the average value per transaction would be roughly KShs 2.50 (less than 3 Kenyan cents).

The writer almost certainly swapped the words "million" and "billion", or mixed up the scale of the metrics.
View attachment 3594944

Take it up with Safaricom -
 
Back
Top Bottom