Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ile ya dodoma hata haijaanza kazi

View: https://x.com/KennedyMmari/status/2063607192821887124?s=20
 
NB: Sisi hatuna uraia pacha. Na haya madharau yanu diaspora ya kuwadharau wanaoishi Tanzania na nyie mnajiona keki, mnajiona mnawazidi akili watanzania wote yanatuongezea hasira ya kukataa uraia pacha.

Wewe utabaki kuwa raia wa huko ulaya na siyo raia wa Tanzania. Tumechagua kuwakataa.
Una assume tu mambo halafu unaandika.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2056039424643723725?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2056585708270211321?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/2056820654675001764?s=20
 
namna gan pale mwaiofhawaii Teargass 🤣 🤣 what happend after uzinduzi? kimya sana wanaetu
1780845781933.png

uku wenzenu hawana mda wa uzinduzi ni kazi juu ya waya

View: https://www.youtube.com/watch?v=yqJEBeu9CqI

View: https://www.youtube.com/watch?v=9qvN8XaDRoQ&t=112s
 
Hakuna mahala nimesema impact ya ziara iko hivi ama vile.
Nimekosoa tu IQ yake finyu ilipokuwa open baada ya kutoa matamshi kinyume na swali aliloulizwa.
Mzee wewe IQ yako mbona hatuioni kaka? Unakosoa watu wengine. Mara unataka kiongozi mwenye maono? Mara kiongozi genius, mara kiongozi mwenye IQ kubwa!!!

Kwa taarifa yako nchi haihitaji watu wa namna hiyo unayoitaka wewe. A nation is a system not a person
 
Hakuna mahala nimesema impact ya ziara iko hivi ama vile.
Nimekosoa tu IQ yake finyu ilipokuwa open baada ya kutoa matamshi kinyume na swali aliloulizwa.
NB: kwa kukusaidia tu soma kitabu Why Nations Fail cha Daron Acemoglu na James Robinson. Hiki ni kitabu cha taaluma ya siasa. Kinaeleza kuwa nchi zinafanikiwa kwa sababu ya kuwa na taasisi imara (inclusive institutions), na sio kwa sababu ya kuwa na viongozi wema au magenius.
Hiki hapa:
 
Attachments

Mzee wewe IQ yako mbona hatuioni kaka? Unakosoa watu wengine. Mara unataka kiongozi mwenye maono? Mara kiongozi genius, mara kiongozi mwenye IQ kubwa!!!

Kwa taarifa yako nchi haihitaji watu wa namna hiyo unayoitaka wewe. A nation is a system not a person
Mimi sinaga muda wa kukosoa watu miaka yote niliopo hapa.
Yule ni mtu kwenye nafasi ya uongozi na ni haki ya kila raia kutolea kauli or kuexpres disatisfakshen zao dhidi ya pafomansi yake.
 
Na nusu ya hizo flights Kenya ni za Ruto tu, Kenyans are way broke to fly

View: https://x.com/i/status/2063625734069833784
 
NB: kwa kukusaidia tu soma kitabu Why Nations Fail cha Daron Acemoglu na James Robinson. Hiki ni kitabu cha taaluma ya siasa. Kinaeleza kuwa nchi zinafanikiwa kwa sababu ya kuwa na taasisi imara (inclusive institutions), na sio kwa sababu ya kuwa na viongozi wema au magenius.
Hiki hapa:
Mimi nimeanza kusoma wewe hujazaliwa. Hivi vitabu havina masaada na wewe kwakua akili mtu huzaliwa nazo na kamwe akili haipatikani kwenye idadi ya vitabu mtu amesoma ama muda aliospend shule.

Kushindwa tu kufanyia kazi reports za CAG kila mwaka says a lot.
 
Mimi sinaga muda wa kukosoa watu miaka yote niliopo hapa.
Yule ni mtu kwenye nafasi ya uongozi na ni haki ya kila raia kutolea kauli or kuexpres disatisfakshen zao dhidi ya pafomansi yake.
Kaka unahaki ya kumkosoa Rais wa Tanzania unavyoweza lakini siyo kuushusha utu wake. Unapomwita Rais Samia kuwa yeye siyo genius, hajasoma, hana IQ kubwa lengo lako ni nini? Lengo lako ni kushusha hadhi yake na kudhalilisha Taifa la Tanzania.

Tangu mwanzo wewe umeng'ang'ania swali aliloulizwa kuhusu je, Tanzania ikishirikiana na Urusi anaonaje kuhusu sanction za wamagharibi. Nilikuambia yeye alijibu kama mwanasiasa kuepuka kuwa miss quote yeye alijibu Tanzania kwa sasa hakuna Sanction.

Sasa wewe unataka ajibu zaidi ya hapo. Na unamwita hana IQ kubwa.
Nikakueleza kuwa leo saa nane waandishi wa habari wameitwa na msemaji wa Ikulu uende pale ukaulize maswali yako lakini ukasema wewe upo ulaya haupo Tanzania.

Nikakueleza kuwa wewe unayetaka viongozi magenius kwanini umeikimbia nchi na kwenda kukaa ulaya?
Ukasema tangu utoto wewe upo ulaya. Kisha nikakuambia wewe hujui maisha ya Tanzania na nikakueleza kuwa nyie diaspora mnajiona keki mnajiona nyie manaakili kuliko watu waliopo Tanzania na nikamaliza kwa kusema kuwa Tanzania haina uraia pacha, so wewe siyo raia wa Tanzania.

Nakushauri kaka pitia mambo yote aliyoyasema akiwa huko urusi yachambue na ulete full analysis kuliko kujikita kwenye trivial issue ili kupoteza hoja yote kwa ujumla.

Asante
 
Mimi nimeanza kusoma wewe hujazaliwa. Hivi vitabu havina masaada na wewe kwakua akili mtu huzaliwa nazo na kamwe akili haipatikani kwenye idadi ya vitabu mtu amesoma ama muda aliospend shule.

Kushindwa tu kufanyia kazi reports za CAG kila mwaka says a lot.
Ona sasa unavyovimba na kujiona wewe mkubwa. Ndio tabia zenu Diaspora. Unaposema umeanza kuvisoma vitabu hivyo kabla sijazaliwa unaujua umri wangu?

Acha cheap politics jikite kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom