Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Em nipe pictures za masoko yenu (public markets)

Tanzania public markets
grabbed-frame-19.bmp.bmp
ZkIcrLoKhC7aJEixjlfq62Um7XuWrFO-WFPt3g44Wvd3j1CaHneOYKc5kmsmg1hrOqxzhS9IuAk-CiGokwHM5Hk-BNTQmfA42FWWBDP2zSSahQ=w516-h285-nc
images
DSC01811.jpg
unnamed1.jpg
SOKO-LA-FERI.jpg
images
0.1majini7.jpg

Equity bank......hahaha
 
Ati sokoni.
labda watu wa upcountry
Today's observation ni kwamba wakenya wameshangazwa sana na jinsi gharama za maisha Tanzania zilivyo chini hasa bidhaa za vyakula.

Hii inatoa pictures kwamba Tanzania maisha ni standard na suala la chakula halimuumizi mtanzania kichwani kama mkenya zaidi ya 69% ya muda wake anafikiria namna ya kupata chakula ndio maana bei za vyakula hasa unga huwa zipo front page is a very sensitive topic

Tanzania hutakaa usikie debate ya bei ya chakula fulani specifically never.
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....
enda nigeria,ghana,sA,egypt then ulinganishe na kenya kama si sawa.
 
Ati sokoni.
labda watu wa upcountry
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....
enda nigeria,ghana,sA,egypt then ulinganishe na kenya kama si sawa.
Hivi Egypt, Nigeria na South Africa nao wanapewa food donations kama Kenya?, wana big slums without toilets kama Kenya?, wana poverty kama Kenya?
 
Bei ya bidhaa tanzania ipo chini kwa sababu Tanzania sio nchi yenye umuhimu wowote kibiashara ukanda huu...wajinga wana expect bei ya bidhaa nchini Kenya iwe sawa na bei ya bidhaa Tanzania huku kampuni zote za ng'ambo zipo nchini Kenya zinafanya biashara...bei ya ardhi tu inapanda asilimia 500 jijini Nairobi kwa sababu ya wawekezaji kama Hilton Hotel, Coca Cola, Google na Microsoft
ujinga hautakuacha salama😀😀😀😀😀
 
Life sucks in Kenya unga 140 hahaha eti mtanzania atoe 2800 anunue unga kilo moja? Hiyo pesa anakula chakula cha kushiba yeye na familia yake whole day.

Mkate shilingi ngapi?
soda take away kenya ni 70 ksh tanzania ni 50ksh
 
Ati sokoni.
labda watu wa upcountry
All LDC maisha ni rahisi...pia uganda na rwanda ni ksma hapo kwenu....
enda nigeria,ghana,sA,egypt then ulinganishe na kenya kama si sawa.
Because they are shitholes
Unanipa examples za shithole countries badala useme sa, western, China etc
 
Back
Top Bottom