Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,994
Em nipe pictures za masoko yenu (public markets)Depends kama ni sokoni ama supermarket.
bei za,sokoni ni cheap sana but mimi binafsi siezi nunua kitu sokoni...
we boya sana....😀😀😀😀Kenya kuna malls....markets ndio za ujinga gani...look at this fool!! majority of Kenyans shop in supermarkets, not Kariakoo-like shitholes😀😀😀Em nipe pictures za masoko yenu (public markets)
Tanzania public markets![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sasa kwani Tanzania hakuna malls and supermarkets? Kama ilivyo kuna private schools (supermarkets and malls) vile vile kuna public schools (public markets) owned by the governmentwe boya sana....😀😀😀😀Kenya kuna malls....markets ndio za ujinga gani...look at this fool!! majority of Kenyans shop in supermarkets, not Kariakoo-like shitholes😀😀😀
Unaweza kupata huu msosi kwa 75 hapo Kenya?99% of all multinational companies in East Africa have headquarters in Kenya....unategemea bei za bidhaa ziwe kama za nchi LDC? nchi isiyo na umuhimu wowote kwa wawekezaji wa nje![]()
![]()
![]()
prices are high in South Africa, Egypt and Nigeria too...why? because these are important countries in Africa that attract alot of investment...high demand high prices... simple common sense
Hili ni povu sasa,eti supermarkets.we boya sana....😀😀😀😀Kenya kuna malls....markets ndio za ujinga gani...look at this fool!! majority of Kenyans shop in supermarkets, not Kariakoo-like shitholes😀😀😀
yaani mnapenda kula uchafu sanaUnaweza kupata huu msosi kwa 75 hapo Kenya?![]()
masoko yako bwana ila ni za kuuza fresh produce (nyanya, vitungu na kadhalika)Hili ni povu sasa,eti supermarkets.
Sema kama hakuna masoko bibi.
Kuna tofauti gani kati ya kushop hapa na supermarkets? Uzezeta tu unakusumbuawe boya sana....😀😀😀😀Kenya kuna malls....markets ndio za ujinga gani...look at this fool!! majority of Kenyans shop in supermarkets, not Kariakoo-like shitholes😀😀😀
Ndio hayo uweke mzee,tunajua soko kubwa za ulanguzi wa bidhaa hakuna kenya nzima.masoko yako bwana ila ni za kuuza fresh produce (nyanya, vitungu na kadhalika)
Life sucks in Kenya unga 140 hahaha eti mtanzania atoe 2800 anunue unga kilo moja? Hiyo pesa anakula chakula cha kushiba yeye na familia yake whole day.yaani mnapenda kula uchafu sana
Hahaha wawe na soko wauze nini? Hawana kitu cha kuuza hata bus stand hawana nchi ya kichoko sanaNdio hayo uweke mzee,tunajua soko kubwa za ulanguzi wa bidhaa hakuna kenya nzima.
Eti uzezetaKuna tofauti gani kati ya kushop hapa na supermarkets? Uzezeta tu unakusumbua
Tanzania public markets![]()
![]()
![]()

Hilo jamaa ni zezeta OG nalifahamuEti uzezeta![]()
![]()
![]()
Ni kichekesho serikali inatoa ruzuku kwenye unga kwa wananchiUgali flour goes missing as government maize subsidy ends
Hivi kwanini Kenya inashindwa kukabiliana na tatizo la njaa?, mbona ni kitu rahisi sana, au kuna watu serikalini wanafaidika na kuwepo kwa njaa?