Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This orphan is so lonely in this wilderness 🤣🤣🤣🤣🤣
No form of civilization around it
IMG_0186.jpeg
 
After kuona wamelemewa naona they have decided to use AI to enhance the appearance of their Mabati Stadium 😂😂
....and they use the same AI to make Talanta look worse. Wanatoa external landscaping inabaki vumbi wakati the landscaping was done ever before the external curtain walls were done.😂😂
 
Sasa utatumia picha za uwanja ambao haujaka kujengwa while ulishakamilika kujengwa.?
Picha zile zinakuogopesha.? 😂😂😂 huku ndio kunaitwa kujidanganya.
Ni uwanja gani ulishakamilika kujengwa wewe nyamwezi?
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

View attachment 3522579

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Kuna wakati mwalimu alisema ukitaka kushangaa majumba marefu usiende Ulaya, nenda tu Nairobi.
 
Back
Top Bottom