stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 37,928
- 37,477
I get that sio kila kitu kiwe na economical impact maybe vingine vitakuwa na Social au Political impactAlafu kingine, nchi inahitaji equal investment kote kote, huezi kila budget unawaza barabara, nikupe mfano Serikali inapokea kodi nyingi na mapato kutoka kwenye mpira, wachezaji na club wote wanalipa kodi na serikali inapokea mapato mengi sana, kwa mahesabu ya haraka mpira unagusa watu karibia laki 2, namaanisha kuna wachezaji, madaktari, marefa, makocha, umo umo kuna media houses, saahv ndo usipime kuna masponsor wote hawa wanamwaga mabilioni
Ukiacha na hizo timu zetu zote zinashiriki michuano mikubwa CAF champions league na caf confideration
Wanaingiza pesa nyingi vibaya mno hapo hujajumlisha mahoteli, usafiri woooote hawa wanategemea mnyororo wa mpira
Sasa wewe chagua, upeleke barabra uyole ama uboreshe mazingira ya mpira uendelee kukusanya mabilioni
Apo hatujaongelea hospitali zinazotibu wagonjwa. Mawakala wa ticket wewe utaamua mwenyewe nani atakufukisha trillion moja mapema
And finally michezo inatangaza tanzania kote., mfano saahv tupo fainali ya AFCON apo unaongelea watalii wangap? Wote hao wanakuletea pesa za kigeni uweze kununua mafuta ambayo ndo huduma za lami zipo umo umo
Si mchana pia you are always here every second. There's no day ushaikosa kuwa active JF even for a minute.Sasa unataka nkusaidiaje, i can decide to sleep mchana shida iko wap?: are you in pain ama shida ni nn
You are living with your, any person with a responsibility can be idle like you.Acha maneno mengi go and work. I didnt get this freedom out of nowhere, alafu mm sio mpuuzi kama wewe, i have a family and i dont wish waishi kma unavoishi wewe, so just focus on how you will become usefull
The guy can single handedly fill 3 pages by himself within a span of 5 minutes😂😂The guy has no responsibilities. A responsible person can't spend 20 hours of his time on a forum trolling. Hakuna page utakosa post yake.
Mbna kama unaumia sana?You are living with your, any person with a responsibility can be idle like you.
Talking of family, if it's true then at what time do you give your wife her conjugal rights cause usiku kucha uko JF engaging yourself.
Kama una maumivu sema tukupe correct medicineThe guy can single handedly fill 3 pages by himself within a span of 5 minutes😂😂
Si mchana pia you are always here every second. There's no day ushaikosa kuwa active JF even for a minute.
Jamaa wa redio kenya anasema "i am ashamed" 🤣wawe focused sasa waache majitambo!
it has been a while, ngoja tuendelee tena! so this is the president you are talking about..The guy can single handedly fill 3 pages by himself within a span of 5 minutes😂😂