stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 35,507
- 34,084
Wanaelewa basi wale chokoraaa na saahv wameongeza ebola mtumeeeeUmeona viwanja vya kisasa jinsi vinakuwa, sio African style box kama viwanja vya Kenya, Uganda na Rwanda.View attachment 3597433
Wanaelewa basi wale chokoraaa na saahv wameongeza ebola mtumeeeeUmeona viwanja vya kisasa jinsi vinakuwa, sio African style box kama viwanja vya Kenya, Uganda na Rwanda.View attachment 3597433
Si uende na wewe ukakae na your parents ama unangoja nnYoung man you are so idle. Yani people are sleeping lakini you are chatting alone to yourself? Get a life kijana.
Siku your parents will chase you out of their house ndio utajua mambo sio rahisi huku nje,as of now just enjoy the provision of your parents.
Wamewekewa magep makubwa kinomaNdani sasa😂😂😂😂View attachment 3597430
Na wewe unaweza kufanya AI unasubiria nnAfter kuona wamelemewa naona they have decided to use AI to enhance the appearance of their Mabati Stadium 😂😂
ocean road how? wacha upuuzi! Siku wakitaka kujenga daraja au tunnel kwenda Kigamboni? Upande wa Kigamboni wanaweza kujenga cruiseship terminal hata Kunduchi hata Bagamoyo!Kwa nchi za wenzetu cruiser ship terminals uwa zinajengwa kule kama ocean road,eneo tunalo zuri tu ila shida engineers wetu wanaweza kushauri ijengwe pale posta
Si hua mkiambiwaga mna maisha magumu mnabisha, sasa umeaanza kunyooka mwenyewe. Na apo bado i can even recall you showing us your salary 🤣 , i gave you a simple answer, work so hard bado hujui pesa ni nn, and i told you sku watu wakisema waonyeshe what they own utakua depressed shauri yakoYoung man you are so idle. Yani people are sleeping lakini you are chatting alone to yourself? Get a life kijana.
Siku your parents will chase you out of their house ndio utajua mambo sio rahisi huku nje,as of now just enjoy the provision of your parents.
Go and work utoke slums, shauri yako
Hii ni takatka tu compared to Arusha stadium. Kama unaumia lia.Wacha tufanye AI vs Real picture basi 😅😅View attachment 3597402
Yaani mpaka world cup wanashindwa kuafford mpaka tanzania wawasaidieHii ni takatka tu compared to Arusha stadium. Kama unaumia lia.
Unataka yabanane kama kama zile za Arusha zilizobanana kama nyumba zenu za uswazi?Wamewekewa magep makubwa kinoma
Izo gaps ni because of povertyUnataka yabanane kama kama zile za Arusha zilizobanana kama nyumba zenu za uswazi?
Nini cha kuniumiza hapo ba hiyo kufinyana hapo? Comfort thrown out of the windowKama zinakuumiza endelea kuumia. 👇🏾View attachment 3597464
According to Nyamwezi ChroniclesIzo gaps ni because of poverty