Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Barabara za Magufuli city. Dodoma imeendelea kujenga barabara kali bhana 🔥🔥
IMG_5659.jpeg
IMG_5660.jpeg
IMG_5663.jpeg
 
Wakenya hapa mliliwa haki ya mama, old model stadium hii wazee. Dunia ishatoka huko amkeni wazee.
wenzako apo wanaona ndo santiago benebeu apo huawambii kitu 🤣 , unamjua Teargass, 🤣🤣🤣 kuna uwezekano alikua fundi pale wa kuchomelea maaana ni kama kila kengo jipya apo mathare lazima yaanguke
 
Back
Top Bottom