ukijumlisha na EBOLA daahsaahii unamwagiwa maharagwe ya moto au kuchomwa moto ukisifu Ruto!
Uwanja wa dodoma ndio huo tena. Yooo huu uwanja utakua na view nzuri kinoma noma. Cheki vitu hivyo. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DY6gM3jM-RN/?igsh=MWw5cTVmdGVwdTQ4cg==.
Hawa uganda nao waache kujenga mabakuli kama talanta, wajenge viwanja vya kisasa, ule uwanja wao bado wa ki Africa kama talanta au nakivubo.Uganda washaweka bid ya peke yao AFCON, yaani viumbe tunawasaidia alafu wana mdomo sasa watakula jeuri yao
hawa mafala ni maskini kichz, kuangalia mpira woa wenyewe hawawezi, sasa tunawasaidia World cup
View: https://youtu.be/L35zQrqasRw
once again kenyans have to watch World cup on AzamTV
Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasawe mzee, viwanja lazima viendelee kujengwa! bila viwanja AFCON tutakua tunaiskia tu kwa watu, apa tunatakiwa kufikisha viwanja 12 kwan ndo vigezo vya world cup na pia tayar nchi yetu inapeleka timu 4 CAF, na tunataka kuhost mashindano ya afrika yote
Bila hivo GDP ya $1 trillion utaiskia tu mambele
wacha kufanya comparative assessment kwenye kila kitu!Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi .
Plus viwanja 6 vinaatosha ku host afcon kama tunahitaji kikijengwa kinginge mji kama Mwanza Afcon inakuwa hosted vizuri .
Argument yangu ni kuwa viwanja ni misprioritization ya fund kwa nchi kama yetu wakati huu tunahitaji Roads , SGr iishe , Grid tujenge 400kv za maana na sio kuzika hela kwenye viwanja vya tournament za mwezi mmoja
Yani GDP ya 1 trillion usd inachangiwaje na uwepo wa viwanja vya mipira!?we mzee, viwanja lazima viendelee kujengwa! bila viwanja AFCON tutakua tunaiskia tu kwa watu, apa tunatakiwa kufikisha viwanja 12 kwan ndo vigezo vya world cup na pia tayar nchi yetu inapeleka timu 4 CAF, na tunataka kuhost mashindano ya afrika yote
Bila hivo GDP ya $1 trillion utaiskia tu mambele
Wewe ni lini utajua types of bus bodies? Unaona Marcopolo ndio unatajwa hapo wewe unakuja na Irizar. Learn about vehicles first ndio uanze kuziongelea.Kwahio ukaamua kuokota news utuletee apa, kwhaio wameskip irizar sio
Serengeti boys to the final, yn kwa ss kila michezo kwa hapa East and Central Africa ni Tanzania tuu 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
Kwa Africa kupata maendeleo ya kweli tusaau, acha tu tujiliwaze na michezo mana maendeleo ya kweli hayawezekani kuwepo Africa, tuna watu wana tamaa sn, so wacha tujenge maviwanja tu yatusahaulishe dhiki tulizinazo.Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi .
Plus viwanja 6 vinaatosha ku host afcon kama tunahitaji kikijengwa kinginge mji kama Mwanza Afcon inakuwa hosted vizuri .
Argument yangu ni kuwa viwanja ni misprioritization ya fund kwa nchi kama yetu wakati huu tunahitaji Roads , SGr iishe , Grid tujenge 400kv za maana na sio kuzika hela kwenye viwanja vya tournament za mwezi mmoja
Sasa young lady unataka kusema. Nn kuhusu isuzuWewe ni lini utajua types of bus bodies? Unaona Marcopolo ndio unatajwa hapo wewe unakuja na Irizar. Learn about vehicles first ndio uanze kuziongelea.