Najjua utabisha ila investment za Viwanja na Barabara unaona kipi kinahitajika zaidi kwa sasa
1. Mfano Mpanda kigoma hamna lami
2. Itigi to Chunya
3. Ifakara to Songea
Unahisi kipi kitatusogeza zaidi kwenye GDP ya 1 trillion .
Ku host Afcon ? Jaribu kucheki impact ya Afcon kiuchumi .
Plus viwanja 6 vinaatosha ku host afcon kama tunahitaji kikijengwa kinginge mji kama Mwanza Afcon inakuwa hosted vizuri .
Argument yangu ni kuwa viwanja ni misprioritization ya fund kwa nchi kama yetu wakati huu tunahitaji Roads , SGr iishe , Grid tujenge 400kv za maana na sio kuzika hela kwenye viwanja vya tournament za mwezi mmoja
Alafu kingine, nchi inahitaji equal investment kote kote, huezi kila budget unawaza barabara, nikupe mfano Serikali inapokea kodi nyingi na mapato kutoka kwenye mpira, wachezaji na club wote wanalipa kodi na serikali inapokea mapato mengi sana, kwa mahesabu ya haraka mpira unagusa watu karibia laki 2, namaanisha kuna wachezaji, madaktari, marefa, makocha, umo umo kuna media houses, saahv ndo usipime kuna masponsor wote hawa wanamwaga mabilioni
Ukiacha na hizo timu zetu zote zinashiriki michuano mikubwa CAF champions league na caf confideration
Wanaingiza pesa nyingi vibaya mno hapo hujajumlisha mahoteli, usafiri woooote hawa wanategemea mnyororo wa mpira
Sasa wewe chagua, upeleke barabra uyole ama uboreshe mazingira ya mpira uendelee kukusanya mabilioni
Apo hatujaongelea hospitali zinazotibu wagonjwa. Mawakala wa ticket wewe utaamua mwenyewe nani atakufukisha trillion moja mapema
And finally michezo inatangaza tanzania kote., mfano saahv tupo fainali ya AFCON apo unaongelea watalii wangap? Wote hao wanakuletea pesa za kigeni uweze kununua mafuta ambayo ndo huduma za lami zipo umo umo